Alphonce Lusako: Nimenusurika kutekwa kwa madai ya kuwa Gaidi, sasa namuachia Mungu suala la usalama wangu

Kwa waliosoma udsm miaka ya 2009/2012 huyu mwamba alikua moto wa kuotea mbali kwenye harakati za kutetea wanafunzi... Akipanda Rev Square huyu mwamba alikua anatema madini sijapata kuona...

3 July 2023

KESI YA BANDARI NA DP WORLD, ALPHONCE LUSAKO MMOJAWAPO WA RAIA WATATU WALIOFUNGUA KESI


View: https://m.youtube.com/watch?v=1Ib-leeSNPk

Court: Mukandala to stand trial for alleged unfair dismissal of a student

17 Apr 2021 — ... Alphonce Lusako from the institution of higher learning......

15 July 2017

Alphonce Lusako: Kuacha kutetea haki ni kuliua Taifa.....​



View: https://m.youtube.com/watch?v=Nxe1XLxp31E
 
Ni muimbaji wa nyimbo za injili toka Uganda.
 
yaani mbio zimekuokoa halafu unasema umwachie Mungu we bwana mdogo endelea kukimbia na Mungu usimwache, wakifungua kesi mahakamani ukapambane nao hukohuko wakija kihuni na wewe kua mhuni zaidi yao ova.
 
God have mercy on us..
 
Atakuwa komando kipensi , si unaona ameweza kutorokea kwenye mtaro wa makuti na Kaunda suti yake haijachafuka??( Joking please!!!)
huyu Lusako ni nani,mwanasiasa,mhuburi, mfanyabiashara au?
Kutii sheria bila shuruti ndiyo mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…