DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kwa waliosoma udsm miaka ya 2009/2012 huyu mwamba alikua moto wa kuotea mbali kwenye harakati za kutetea wanafunzi... Akipanda Rev Square huyu mwamba alikua anatema madini sijapata kuona...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa waliosoma udsm miaka ya 2009/2012 huyu mwamba alikua moto wa kuotea mbali kwenye harakati za kutetea wanafunzi... Akipanda Rev Square huyu mwamba alikua anatema madini sijapata kuona...
Anataka umaarufu tu huyohuyu Lusako ni nani,mwanasiasa,mhuburi, mfanyabiashara au?
Ni muimbaji wa nyimbo za injili toka Uganda.Umekurupuka kutueleza tukio lako bila ya kufafanua wewe ni nani na kwa vipi hasa umehitilafiana na wanaokutafuta.
Unapokimbilia huku JF! Ni vema pia ukatoa short brief kuhudiana na nature ya tukio lako.Hii itasaidia kwa wale wanaotaka kukusaidia kwa namba moja ama nyingine basi wapate pa kuanzia.
Hebu kwanza andika Hilo Jina lako Kwa kiswahili...Anataka umaarufu tu huyo
yaani mbio zimekuokoa halafu unasema umwachie Mungu we bwana mdogo endelea kukimbia na Mungu usimwache, wakifungua kesi mahakamani ukapambane nao hukohuko wakija kihuni na wewe kua mhuni zaidi yao ova.View attachment 2956300
NIPO SALAMA ndugu zangu Baada ya TUKIO la KUWATOROKA Waliojiita POLISI, Pale Landmark Hotel, Ubungo, Dar es salaam. "Kama Magaidi Wanakamatwa kwa namna ile, Nadhani kuna shida kubwa kwa Vyombo Vyetu Vya dola. NITAELEZA kwa kina but in brief
Nikiwa na Kikao Kazi Landmark Hotel,Ubungo,Walikuja Watu Waliojitambulisha ni Polisi kutoka Makao Makuu, Wakiuliza nani anakisimu kidogo hapa, Tukawashangaa na kuwauliza nini akina nani? WAKADAI Wapo kazini Wao ni Polisi na kutuonyesha Vitambulisho haraka
Wakatuambia hapa Kuna GAIDI Kati yenu tunanamtafuta hapa, MWENYE simu ndogo atoe haraka, Mara kiongozi wa Msafara akapokea simu ya maelekezo Kwamba wote tupo under target. Tukaambiwa tupo Chini ya Ulinzi tangia sasa.
Wenzangu walipoanza kupiga simu kwa ndugu wakapokonywa haraka na kukatokea mzozo Mkubwa baina yetu na Wao, Nikafanikiwa KUWATOROKA kwa njia ya Makuti iliyopo kwenye Mtalo wa Maji na kuibukia Ubungo Darajani na kwenda sehemu salama kwangu
Nimearifiwa na Wakili Wangu, Kwamba Wenzangu Wawili (2) waliowekwa Chini ya Ulinzi na Walipelekwa Kituo cha Polisi chang'ombe na baada ya Mahojiano, Wameachiwa huru kwa hoja Kwamba Polisi Walikosea Target ya MAGAIDI
Hili si tukio la kwanza dhidi yangu, SIWEZI Nikapuuza hata kidogo dhamira yao, Nilipofukuzwa chuo, Nilivamiwa na Watu wa AINA HII na Wakajitambulisha kwa Staili hii hii, Bila WATU DDC, Dar es salaam, huenda ingekuwa HISTORIA
Nimeokoka kwenye tukio hili, sijui la kesho, Nasisitiza kwamba, MAGAIDI Hawawezi kukamatwa kwa namna ile, Najua tunachukua tafadhari kama Binadamu, Namwachia MUNGU Usalama Wangu tangu sassa.
Wakili na kada wa chademahuyu Lusako ni nani,mwanasiasa,mhuburi, mfanyabiashara au?
God have mercy on us..View attachment 2956300

CCM wapo vizuri sn kwa utekajiWakili na kada wa chadema
Chama cha watekajiCCM wapo vizuri sn kwa utekaji
Ni majangili tupuChama cha watekaji
Kutii sheria bila shuruti ndiyo mpango mzima.huyu Lusako ni nani,mwanasiasa,mhuburi, mfanyabiashara au?