Am I wrong if I process divorce?

Aisee kaka..laiti ungejua. Ila naomba uamini unavyojiskia tu..ila umeongea from your point of view. Kwahio niende na madira ofisini?
 
Ndo hivo watu tuko tofauti, nami niliona huyu sitamuweza.

Naamini baadae alipata wa kufanana naye. Haya mambo ni compatibility that matters most
Kama ambavyo sipendi mwanamke ombaomba nilijiopolea ambaye hana tabia hio ya ajabu! Kweli kila mtu na mtuwe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hata Mimi wangu niliona hatuendani akatafte maabato wake mnyoa mapanki na asiye hoji lolote, mwanamke wa ndiyo mzee. Ukipenda kitu serious huoni mapungufu bana ukiona vikasoro ujue no love
Hahahahahha et msabato mnyoa mapankiπŸ˜…
 
Hahahahahha et msabato mnyoa mapanki[emoji28]
[emoji23][emoji23]yes mnyoa panki, na mvaa miguo mikubwa oversize, wanaume mnashindwaga kuelewa tu vitu vyetu vya kike ni vile sisi ni ke Sasa kutaka tufanyie vyenu na sisi tuna utashi umenioa ndio usinifanyie Mimi sio mzima nisio na utashi wa Mambo ya kike ka style bana.
 
Muda ni mwingine bora usome michango ya wadau tuu.
 
Aisee kaka..laiti ungejua. Ila naomba uamini unavyojiskia tu..ila umeongea from your point of view. Kwahio niende na madira ofisini?
Bahati mbaya wakati naanza kuandika nilikuwa sijasoma maoni ya wadau humu. Nimesoma tu ulichoandika kisha nami nikaanza kutoa comments zangu.

Ila kwa nilivyoona comments za wadau humu, tayari unaelekea kuchukua maamuzi ya kuachika.

Hoja zako zote nimezisoma, nataka tu nikwambie kitu. Hakuna mwanaume wa kufanya hivo kwa mke wake for no reason, yaan from no where aanze tu kukufanyia vituko hivyo.

You are the cause, you are the reason for that mistreatment from your husband.

I can read from your writing, uzuri wako, elimu yako, kipato chako vinakupa jeuri, kiburi na dharau kwa mumeo. Jichunguze mwenyewe.
 
Anne hii comment yako ukija kuiangalia baada ya miaka mi4 utatamani kui edit ujue..[emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahah mi nimekuelewa sanaπŸ˜… wala siwez kumpangia mwanamke asivae atakacho ila kama hujapendeza lazma nikwambie hio hujapendeza vaa ile na mwenyewe anajuaga kunisumbua lazma aniulize model wake nichagulie leo nivae ipi! Hii imekaaje babe πŸ˜…
 
Kwa namna ulivyojieleza am sure you are smart girl. Hope Beautiful with Brain.

Sema ndo ivyo umeingia chaka apo. Wanaume sisi tuna matatizo mengi mno. Kwa situation yako uyo mwanaume akutaki ama amekuchoka au hakuhitaji tena. Lazima uchukue hatua, dunia ya sasa kuishi kwa kupigwapigwa na mwsnaume ni ushamba.

Mimi ni mwanaume ila siafiki kuwapiga wanawake. Nenda kadai talaka mahakamani. Afya yako ya akili na kimwili ni muhimu zaidi. Usisubiri hadi siku akutoboe macho ndo uje kuchukua hatua.

Inasikitisha na kuhuzunisha mdada smart na msomi kama ww unashindwa kuchukua hatua kwa matatizo haya unayopitia wakati hakuna usilolijua.

Do What is right for you mpendwa.
 
Hata ka hajapendeza inakuhusu Nini kinachofanya watu wateseke nikutaka mtu mzima mwenzake afanye interest zake kichwani na kusahau kila mtu na kichwa chake na hatuwezi kufanana. Lack of maturity na kuheshimu wengine ni janga Sana huku Africa, wewe ni baby wangu tumekutana utu uzima na magego yetu 32 yet unataka unibadilishe au uwe baba angu au mamangu kunipangia maisha hapo ndo watu hukosana wengi, na mwisho kujipatia migungu ya mahusiano for the rest of your life.
 
Hahahahahah kama hilo tatizo basi ni vyema ukaendelea na approach yako ya kuwa single tu! Ukibahatika kupata mzungu mtaendana vizuri
 
Hahahahahah kama hilo tatizo basi ni vyema ukaendelea na approach yako ya kuwa single tu! Ukibahatika kupata mzungu mtaendana vizuri
Staki mzungu bana Mimi kupelekeshwa siwezi au kumpangia mtu wangu maisha huwa siwezi I'm free to do my thing siwezi kumkuta mwanaume wangu Kuna vitu alikuwa anafanya nianze kumpangia ka mamake hivi sijui marafiki acha dah, Sasa hyo Nini.
Maisha mafupi mtu kutaka kukumiliki ka mfugo usio na akili na uamuzi huo ni utumwa bana
 
Hamna anayependa kupelekeshwa na swala sio kupangiwa ila inaonekana hata taking peoples opinions is an issue kwako from this piece of writing. We na Magufuli mmetofautiana kasha tu ila akili na utashi mnaendana.

Ngumu sana ku deal na character ya namna hio na ndio maana kila mtu atakuona una kiburi tu ila they are people who can live with that na wengi ni wazungu kwa jinsi navyoona. Mwanaume akikwambia kitu una strike straight away πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… unaona anakupangia maisha. Hapo mtakuwa mnabishana on everything maana hutaki kusikia usichokipenda!
 
Anne hii comment yako ukija kuiangalia baada ya miaka mi4 utatamani kui edit ujue..[emoji1787][emoji1787]
Hahahah anahitaji miaka kadhaa ndani ya taasisi kisha ndio atajipata na elimu kubwa
Nimebahatika kuishi na wazazi wangu waliokuwa kwenye ndoa ambayo hivi karibuni kifo kimeitenganisha kwa kumchukua baba.

Wameishi maisha ya ndoa miaka zaidi ya 40..hakuna mikiki ambayo haijawahi kutokea na ilikuwa inatokea naona.
Laiti wangesema waachane basi sidhani kama wengine sisi tungekuwepo.


Kwa namna ya kibinadamu kuna muda inafika mnaweza tamani hata muwaachanishe tu maana wanachosha..
Lakini tulimlilia Mungu,
Lakini kilikuwa kipindi tu,kilipita na mambo yakakaa sawa maisha yakaendelea vizuri.
 
Lakini baba yako RIP alikuwa hampigi mama yako bila shaka! Just be real, je kuna acts zozote ambazo uliziona ni za kionevu ambazo mama yako alifanyiwa? Im sure your dad was a nice guy na muwajibikaji to his family thats why ndoa ili sustain the hurdles!

Tunapishana kwa mambo mengi ndoani ila they are all mere when they dont involve physical abuse! Wanawake wana kauli chafu sometimes ila tunakasirikiana na kusameheana kwa wanaojua umuhimu wa samahani. When it comes to financial difficulties na baba kutowajibika kwa ndoa nyingi hapa ndipo panazaa vipigo ama ukosefu wa nguvu za kiume ndio hupelekea vipigo zaidi! When you get into these women shoes unaweza kuwehuka ukawa so wild japo wachache wana hold ila mwisho hauwagi mzuri at all! Utagundua hata vile viapo vilikuwa tricks tuπŸ˜…
 
Loh, nilipitiaga hii hali miaka hiyoooo
 
I said it all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…