- Thread starter
- #901
Aisee kaka..laiti ungejua. Ila naomba uamini unavyojiskia tu..ila umeongea from your point of view. Kwahio niende na madira ofisini?Mazingira ya kuoana hayafanani my dada, yanatofautiana kulingana na wahusika wenyewe.
Kuna watu wanafuata ule msemo wa tabia tutafundishana
Ushauri mzuri ni kwamba huyo dada aamue, kama kwake mavazi na nywele ni kipaumbele kuliko ndoa basi aachike. Na kama ndoa ni bora kuliko hayo mavazi na nywele, basi afuate anavoelekezwa na mumewe.