Am I wrong if I process divorce?

Mimi huyo naona kajiloga mwenyewe. Mimi niliolewa ndoa ilidumu miezi minne baada ya kupigwa eti nimemfumania.

Kama anajipenda aanze maisha. Kazi iendelee
 
Shida sio ku comprise and no one is perfect ila mtu ulinikuta navaa hivi then ndoani hutaki mara uniambie ninyoe dah huo si utoto Tena una force nivae Madera then unatelekeza familia na kunipiga daily eti vile nimevaa nguo flani halloo hapo no comprise wallah mjadala, pia wanaume design hii ni wanyanyasaji vile mke vizuri bana mbona Kuna wanaume waelewa na hawahamgaiki na wake zao na kutesa ka wa huyo mleta mada. Na ujue naomgea na experience wanaume wasiojiamini ni kero na wakorofi
 
Kweli wa mtoa mada ameyumba kwenye kupigana pigana tu! Mwanamke kama hajibu utumbo kipigo kwangu atakisikia redioni tu! 😂Kosa ni kujibu takataka wakati nauliza jambo serious!
 
Ndo hivyo waachane, hakuna kulazimishana.
Mmemuingiza chaka mwenzenu, sijui mna mpango wa kuanzisha chama cha masingo maza, manake mlivompush mpaka kaondoka kwa mumewe, khaaa!!

Kawa freelancer sasa ngoja huko kitaa akawe chakula cha mabaharia
 
Na kweli wanaume watanzania wanapenda wanawake makondoo bana Hadi nikisomaga maoni ya wanaume humu nashangaa mno aisee, maana mbona tuna mababa na makaka hawana hizi pigo za kishamba bana.
Mie mabebi Zangu huwa ni free mind
 
Tatizo la kuwa submissive sana mwishoni they take you for granted. Wanawafanyia mauza uza..ndo wale wanaletewaga hadi micheps ndani.

Ni bora mtu awe na misimamo yake akipata muoaji ajue kabisa anaoa mtu wa aina gani, watapambana hivyo hivyo.
 
Hafu hamna mwanamke asiyetomb.ka Simba mwenyewe na ukali wake anazaa aisee.
 
Mmemuingiza chaka mwenzenu, sijui mna mpango wa kuanzisha chama cha masingo maza, manake mlivompush mpaka kaondoka kwa mumewe, khaaa!!

Kawa freelancer sasa ngoja huko kitaa akawe chakula cha mabaharia
Hahaa eti freelancer..
 
We ni noma😀😀.
Ila dah ufumanie na kupigwa upigwe
Mimi huyo naona kajiloga mwenyewe. Mimi niliolewa ndoa ilidumu miezi minne baada ya kupigwa eti nimemfumania.

Kama anajipenda aanze maisha. Kazi iendelee
 
Kweli wa mtoa mada ameyumba kwenye kupigana pigana tu! Mwanamke kama hajibu utumbo kipigo kwangu atakisikia redioni tu! [emoji23]Kosa ni kujibu takataka wakati nauliza jambo serious!
Mimi nikivurugwa najibu chochote sipendi kuonewa jamani heri nife nikifight walah, na siwezi ruhusu mtu tumekutana naye utu uzima I anidunde Yani ataniwrza siku Moja NAMI naandaa silaha vita ni vita Mura nikimwachia alama ndo naachana naye aisee
 
Mmemuingiza chaka mwenzenu, sijui mna mpango wa kuanzisha chama cha masingo maza, manake mlivompush mpaka kaondoka kwa mumewe, khaaa!!

Kawa freelancer sasa ngoja huko kitaa akawe chakula cha mabaharia
Unaweza ukawa kwenye ndoa na mabaharia wanakukula vile vile, hainaga formula hiyo
 
Mimi nikivurugwa najibu chochote sipendi kuonewa jamani heri nife nikifight walah, na siwezi ruhusu mtu tumekutana naye utu uzima I anidunde Yani ataniwrza siku Moja NAMI naandaa silaha vita ni vita Mura nikimwachia alama ndo naachana naye aisee
Hahahahah hio usijaribu kwangu maana ukinidhuru kinachofata ni coaster zitakodishwa kukurudisha milimani kwenu na mie kuwa mwanachama wa Keko!
 
Nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazazi wanakuwaga wa moto sana yani..unapewa na mifano juu 'ona flani katulia kwake analea familia yake wewe upo tuu'

Hiyo ni kutwa mara 2 asubuhi na jioni..aisee
 
Kila mtu na kipaumbele basi marriage ingekuwa achievement Africa na Tanzania umaskini ungeisha kabisa maana wengine Wana ndoa Hadi nne lakini stress ziko palepale. Pia marriage is not for everyone wewe ukioa na ukafanikiwa na ndoa vile ni achievement well and good people differ in many ways kwa kweli, pia mtu sio bidhaa eti ndoa ni achievement loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…