ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Ni rahisi kuongea tu, unafikiri hawajawahi kuw na good time?
Unafikiri huyu anayesemwa hana uzuri hata chembe?
Hapa yamechaguliwa madhaifu peke yake mazuri anayajua yeye ndio maana haondoki kirahisi.
Pili mkishazaa umekuwa mfungwa daima kwani kuna wakati unawahurumia wanao
unawahurumia wanao mpaka anakuua then unazikwa ....wanao unaowahurumia wanakukosa wewe sababu unakuwa umekufa na baba yao sababu atakuwa amefungwa.....MJINGA MMOJA!