Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Ni rahisi kuongea tu, unafikiri hawajawahi kuw na good time?
Unafikiri huyu anayesemwa hana uzuri hata chembe?
Hapa yamechaguliwa madhaifu peke yake mazuri anayajua yeye ndio maana haondoki kirahisi.
Pili mkishazaa umekuwa mfungwa daima kwani kuna wakati unawahurumia wanao

unawahurumia wanao mpaka anakuua then unazikwa ....wanao unaowahurumia wanakukosa wewe sababu unakuwa umekufa na baba yao sababu atakuwa amefungwa.....MJINGA MMOJA!
 
Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?

Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.

We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.
Umemshauri kikike sana na badala ya kumuona yeye ukajiona wewe
 
Mkuu sikubaliani na ukatili anaoufanya huyo jamaa, lakini huyu Dada kuna jambo alifanya likatoa hayo matokeo.

Ndio sababu nimemuuliza hayo matatizo yameanza katika umri gani wa ndoa yao?
Mkuu hata kama yalianza mwaka jana.Ukweli unabaki pale kwamba abuse is abuse.Ila kuhusu uamuzi ni wake/wao wenyewe waamue maana hata jamaa najua anateseka sana.
 
mwenye shida apo ni wew dada ushakosea yan umejibebsha majukumu ya mwanaume unategemea nini? ata kam ni mimi ningetegea tu utoe mwenyew na ushachelewa sanaaaa usisubili cha talaka wala vikao, si una kazi wew and you can handle to pay all bills sasa unawaza nini hiyo nyumba au? ebu toka hapo kaanzishe maisha yako.
 
Ni rahisi kuongea tu, unafikiri hawajawahi kuw na good time?
Unafikiri huyu anayesemwa hana uzuri hata chembe?
Hapa yamechaguliwa madhaifu peke yake mazuri anayajua yeye ndio maana haondoki kirahisi.
Pili mkishazaa umekuwa mfungwa daima kwani kuna wakati unawahurumia wanao
Hii ya kuwahurumia watito huwa sio kweli.

Ni unajihurumia wewe.

Fact is watoto hawahitaji wazazi wanaoishi chini ya paa moja.
WATOTO WANAHITAJI BABA NA MAMA WANAOISHI PAMOJA WAKIWA
-NA AMANI
-NA UPENDO
-NA AFYA AKILI
-NA MASIKILIZANO

Mama mwenye depression ya aina hii huwezi kuwa mama salama kuliko mama anayeishi mwenyewe kwa Amani mahala fulani

Baba asiyekuwepo nyumbani kwa kiwango hiki huwezi kuwa baba salama kuliko baba aliyekuwepo mwenyewe mahala fulani.

PARENTING NI ZAIDI YA KUISHI NYUMBA MOJA
 
Wewe umeolewa?kama umelelewa kwenye ndoa hukuwahi ona wazazi wako wakidundana/au jamii yako na je waliaachana,una roho ya usimbe.
Mfano akiwa amewaona kwamba avumilie na yeye mkuu?
 
Mwanaume wa hivo hawezi badilika na anajua unampenda kutoka kwake huwezi.

Umesema una akili ya maisha, hivi kweli mtu wa namna hiyo kwa miaka yote mliyoishi umeshindwa kuona mbele kweli??
Au hayo mambo kaanza mwaka jana??

Lakini hujachelewa nakushangaa tu unavosema ukianza sasa hivi utachelewa kumaliza huo ujenzi !! Sasa sijui ulita uanze lini. Usikubali akudunde tena ila tu fsnya mambo yako na upuuze ujinga anaoufanya we fanya maendeleo yako taratibu.

Kumbe wenye elimu zenu mnaogopwa bure tu jamaa kakushika aisee #utanitu😁
 
• Mwanamke usikubali kupigwa kama mnyama(ng'ombe), mkishafikia hatua ya kuchapana magumi ndani ya nyumba hiyo sio ndoa tena. Mtauana au kupeana vilema vya maisha.

• Mkifikia hatua hakuna kupeana utamu ndani ya nyumba basi tena, hiyo ndoa ni mfu. Upo na mke ndani eti 4months mnatazamana tu na wewe unamuita mke/mume wangu while huujui uchi wake, that's a wake up call kuwa ndo inakufa.

Hayo mengine mtajua wenyewe, Ila kwa haya mawili tu anza kufikiria vinginevyo.
 
Kwa hili shoga angu kimbiaaaaaaaa. Japo uvumilivu upo kama mtu anaonyesha kujutia anayoyafanya anaomba msamaha anakuhudumia anakupa haki ya ndoa n.k ila hapo hakuna chochote na kipigo cha mbwa koko juu No waaaaay.
 
Una hakika gani atarudishwa kwao akiwa kwenye jeneza??
Wewe mtazamo wako ni huo,
Mimi mtazamo wangu ni Mungu atambadilisha.

Sijaolewa bado na Mungu atanipa wa kufanana naye,siyo huyo unayemtaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kushauri nadharia mdada, mwenzako anachezea vipondo kila siku, mwanaume mpigaji ni mpigaji tu, huwa habadiliki hata siku moja, hata aje huyo Mungu unayemtaja waishi nae humo. Atapigwa na mwisho atakufa na ndugu zake ndio watamzika.
 
Back
Top Bottom