Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Kaka mito acha kyzingua bana mtu akupangie had mavazi kisa kujiamini then asiwe responsible kwa familia kisa uzuri na appearance ya mkewe huyo jamaa tu ni mgonjwa usimtetee.
Si mumeo, why asikupangie?!

Jifunzeni kuwajua waume zenu wanapenda nini na hawaki nini, mtaona mahusiano yenu yanavonawiri.
 
Sio lazima iwe hivyo. Wewe jizungumzie mwenyewe inatosha.
Hahaaa najua why unakazia hivo.....[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Ila elewa kwamba hata wewe mumeo alikupenda ndo maana akakuoa.
 
Si mumeo, why asikupangie?!

Jifunzeni kuwajua waume zenu wanapenda nini na hawaki nini, mtaona mahusiano yenu yanavonawiri.
Hana mamlaka ya kunipangia interest Zangu binafsi za kike kama mavazi, sijui kusuka mwanaume design hyo namuona si mzima.
Mimi duniani Niko kujifuraisha Mimi sio wanaume aisee, Yani nisivae design flani kisa mume hataki hapana wallah waoeni tu village girl na wasiojielewa
 
Mweh, kwanini msipangiane hizo sheria kabla hamjaoana? Yeye akikupangia ya kwake utakubali kila kitu au ndo mume hapangiwi Bali mke tu. Aisee wewe utakuwa mume wa ajabu.
Umemkuta na mawigi yake baada ya ndoa ndo unajifanya huyataki why hukumuambia kabla au utafute asie penda mawigi ili mundane sawa?
Univishe Madera kila siku why sasa? Huo ni unyanyasaji.
Tafuta mke wa kuendana nae tangu mwanzo.
Nyie ndo wale wanaume wanao waachisha wake zao kazi baada ya kuwaoa. Mna matatizo hamjijui
 
Ulitongozwa au ulimtongoza?Anyway

Taja madhaifu yako matano umetaja yake mengi sasa taja yako matano tujue tuanzie wapi kukushauri

Huyo narcissistic hapo hutoboi
 
Hamna, dada hakuwa na utii, alikuwa analeta ligi kama wa huyu jamaa

We mumeo au boy wangu akikwambia hataki uvae nguo za aina fulani, why hutaki kutii?
Kutokujiamini kwako ndo kulileta shida mkuu ukaona unashindana, nimewahi kuwa na boyfriend wa hivo yeye ana fanya Mambo ya hovyo akisingizia si mtii mara najiona. Mchawi kujiamini tu. We
 
Hahaaa najua why unakazia hivo.....[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Ila elewa kwamba hata wewe mumeo alikupenda ndo maana akakuoa.
Yes ananipenda na hanipangii mavazi ya nguo Wala nywele, ili mradi tu nisivae uchi.
Na kiukweli hapendi manywele ya bandia na bahati nzuri kanikuta na Mimi sipendi, style yangu ni natural hair. Ningekuwa mvaa mawigi asingenipenda that's y nakwambia chagua mke ambae style zake zinakuvutia tangu mwanzo usitegemee abadilike kwaajili yako.
 
Hana mamlaka ya kunipangia interest Zangu binafsi za kike kama mavazi, sijui kusuka mwanaume design hyo namuona si mzima.
Mimi duniani Niko kujifuraisha Mimi sio wanaume aisee, Yani nisivae design flani kisa mume hataki hapana wallah waoeni tu village girl na wasiojielewa
Hahaaa duuh....wewe ni shida[emoji119][emoji119]
 
Kutokujiamini kwako ndo kulileta shida mkuu ukaona unashindana, nimewahi kuwa na boyfriend wa hivo yeye ana fanya Mambo ya hovyo akisingizia si mtii mara najiona. Mchawi kujiamini tu. We
Ndo hivo watu tuko tofauti, nami niliona huyu sitamuweza.

Naamini baadae alipata wa kufanana naye. Haya mambo ni compatibility that matters most
 
Yes ananipenda na hanipangii mavazi ya nguo Wala nywele, ili mradi tu nisivae uchi.
Na kiukweli hapendi manywele ya bandia na bahati nzuri kanikuta na Mimi sipendi, style yangu ni natural hair. Ningekuwa mvaa mawigi asingenipenda that's y nakwambia chagua mke ambae style zake zinakuvutia tangu mwanzo usitegemee abadilike kwaajili yako.
Sasa umenielewa vizuri.

Basi mshaurini mwenzenu naye aelewe vizuri ili afanya maamuzi mazuri yasiyo na mihemko.

Akiacha anavokatazwa na jamaa wataenda vizuri tu.
 
Mweh, kwanini msipangiane hizo sheria kabla hamjaoana? Yeye akikupangia ya kwake utakubali kila kitu au ndo mume hapangiwi Bali mke tu. Aisee wewe utakuwa mume wa ajabu.
Umemkuta na mawigi yake baada ya ndoa ndo unajifanya huyataki why hukumuambia kabla au utafute asie penda mawigi ili mundane sawa?
Univishe Madera kila siku why sasa? Huo ni unyanyasaji.
Tafuta mke wa kuendana nae tangu mwanzo.
Nyie ndo wale wanaume wanao waachisha wake zao kazi baada ya kuwaoa. Mna matatizo hamjijui
Mazingira ya kuoana hayafanani my dada, yanatofautiana kulingana na wahusika wenyewe.

Kuna watu wanafuata ule msemo wa tabia tutafundishana

Ushauri mzuri ni kwamba huyo dada aamue, kama kwake mavazi na nywele ni kipaumbele kuliko ndoa basi aachike. Na kama ndoa ni bora kuliko hayo mavazi na nywele, basi afuate anavoelekezwa na mumewe.
 
Sasa umenielewa vizuri.

Basi mshaurini mwenzenu naye aelewe vizuri ili afanya maamuzi mazuri yasiyo na mihemko.

Akiacha anavokatazwa na jamaa wataenda vizuri tu.
Usilazimishe nimekuelewa...sijakuelewa. Mimi amenikuta hivi nilivyo hakuna nilichobadilika kwaajili yake.
Alinipenda jinsi nilivyo nywele zangu na style yangu ya mavazi.
Wewe kamshauri mwenzio mume wa huyu dada akatafute mke mwingine (maana huyu ameshasepa) mwenye style anazozipenda yeye ili kuepuka matatizo Kama haya
 
Mazingira ya kuoana hayafanani my dada, yanatofautiana kulingana na wahusika wenyewe.

Kuna watu wanafuata ule msemo wa tabia tutafundishana

Ushauri mzuri ni kwamba huyo dada aamue, kama kwake mavazi na nywele ni kipaumbele kuliko ndoa basi aachike. Na kama ndoa ni bora kuliko hayo mavazi na nywele, basi afuate anavoelekezwa na mumewe.
Nadhani mavazi sio tatizo kubwa kivile msome vizuri, ameshafanya maamuzi na nipo kwenye novena kumuombea asirudi tena kwa huyo mjamaa 😀
 
Usilazimishe nimekuelewa...sijakuelewa. Mimi amenikuta hivi nilivyo hakuna nilichobadilika kwaajili yake.
Alinipenda jinsi nilivyo nywele zangu na style yangu ya mavazi.
Wewe kamshauri mwenzio mume wa huyu dada akatafute mke mwingine (maana huyu ameshasepa) mwenye style anazozipenda yeye ili kuepuka matatizo Kama haya
Mwache akaongeze idadi ya singo maza mtaani
 
Nadhani mavazi sio tatizo kubwa kivile msome vizuri, ameshafanya maamuzi na nipo kwenye novena kumuombea asirudi tena kwa huyo mjamaa [emoji3]
Nami niko namuombea jamaa ashikilie msimamo wake asiteteleke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaishije na mwanamke asiye na utii kwa mumewe
 
Hahaaa duuh....wewe ni shida[emoji119][emoji119]
Nyie wanaume bana mjifunze kuheshimu vitu tunavopenda wanawake wewe kuwa mwanaume hakukufanyi uwe na akili Sana Hadi uingililie Uhuru wa mapambo ya mwanamke as long as anatimiza wajibu wake mengine funika kombe, hafu ujue hata nyie Kuna vitu hatuvipendi kutoka kwenu ila tuna umute bana
 
Ndo hivo watu tuko tofauti, nami niliona huyu sitamuweza.

Naamini baadae alipata wa kufanana naye. Haya mambo ni compatibility that matters most
Hata Mimi wangu niliona hatuendani akatafte maabato wake mnyoa mapanki na asiye hoji lolote, mwanamke wa ndiyo mzee. Ukipenda kitu serious huoni mapungufu bana ukiona vikasoro ujue no love
 
Ninachojua wanawake wanaong'ang'ania ndoa za mateso ni wale jobless ambao kwao ndoa ndiyo ajira.

Wewe graduate mzima mwenye kipato Cha kununua gari unakwama wapi?
 
Back
Top Bottom