Am new member(utambulisho)

Am new member(utambulisho)

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470]
Umeshanipeperushia ndege wangu alaf unakimbia.
Nami nakufwata huko huko Kf nije kukupa mipasho yako
[emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470]
 
Hata mimi kipengele hicho jonax hadi leo huwa nashindwa kuaccess jukwaa la dini na la wakubwa.mwenye kujua anielekeze ninawezaje kuyagusa hayo majukwaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mbona mm nmeshaunganishwa uko
 
Huyu memba mpya kapata karibu za kumwaga kisa kaweka picha au? siwaelewi wakuu mbona wengine huwa hamtuchangamkii hivyo? huyu amekuwa maarufu "reo reo"
Ukiona hivyo sio mpya huyu-ID ndio mpya maana anajua hata mbinu za kuteka hisia za wanajukwaa
 
Mimi ni underground mkongwe
1473695402579.jpg
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji15] Sasa wa kumuelekeza mwenzake ni nani kati ya mm na wewe?

Mimi ni mgeni hvyo ww ndo unatakiwa unielekeze
Wewe ulikuwa hujui umeelekezwa ukajua mpaka ukaweza kuingia jukwaa la dini na jukwaa la wakubwa....umewezaje kusoma huku ulikuwa hujui kama mimi????? jonax
 
Back
Top Bottom