Poleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru
Kabisa mkuu. Huwezi kuwekeza kwenhe rasilimali kama pesa yote inaishia kwenye ada. Tunawaiga viongozi kusomesha shule za gharama lakini wenzetu wanasomesha shule za gharama kwa hela za wizi sio hela za halali.Mtu ana degree ya medicine ila anaendesha bajaj ndio apate chakula.
Baba yake angekuwa amewekeza na ana rasilimali za kutosha angempa zake mtaji akafungue dispensary yake
Jamaa kwa uandishi wake kuna wanaodai hakuwa yeye. maana jamaa ametumia misamiati ya kiingereza kuliko mtu yeyote, ameongelea dunia kama alikuwa traveller wakati alikuwa common man. Nimesoma vitabu vyake vingi kwa sababu mzee wangu alikuwa na maktaba na alikuwa mpenzi sana wa plays za jamaa.mdau we acha kabisa , watu tunajua mavituz sema pa kuyatemea ndio changamoto+muda. Huyo jamaa kwenye huo mchezo wa kuigiza wa macbeth alitisha sana. Waingereza wenyewe wanamhusudu balaa.
Yaani hapo umemaliza kila kitu jijali , jipende wewe mwenyewe isije stress na kiumbe kingine Kama sio Tu watoto wako au wazazi.Kwaio mkuu 😊 unataka kusema Kama ukipata nafasi vaa vizuri,kula vizuri, kunywa vizuri enjoy.
Sio kila mtu ana access na connections au kishikwa mkono na ndugu na jamaa zenu wakuu wa mihimili, wengi wa wahitimu hawana hiyo nafasiYan umemaliza MD unaamua kujishikiza kwenye bajaji?
Jamaa hakuwa serious
Kila kitu tunachofanya ni harakati za kukitafuta kifo,,maisha ya mwanadamu ni hadithi tuTumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.
Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Aluta ContinuaTumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.
Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Mwamba amekufa kishujaa akiwa kwenye vita vikali.Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.
Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Na ukifa no pbody cares except your relativesWatu wanakufa hovyo hovyo sana Africa, thamani ya maisha ni ndogo kuliko kote duniani.
Surat Al-Imran, Ayah 185:Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.
Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
"Kila nafsi itaonja mauti. Na mtalipwa ujira wenu kamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na kuingizwa Peponi, basi huyo amefuzu. Na uhai wa dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu."
Wrong comment at the wrong thread. RIP MD.Poleni wafiwaPoleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru
Inawezekana ni kweli, maana kuna kitabu fulani hivi niliwahi kisoma, kinadai pia williama shakespeare hajawahi ku exist popote uingereza. Japo sikuitilia sana maanani hii habari.Jamaa kwa uandishi wake kuna wanaodai hakuwa yeye. maana jamaa ametumia misamiati ya kiingereza kuliko mtu yeyote, ameongelea dunia kama alikuwa traveller wakati alikuwa common man. Nimesoma vitabu vyake vingi kwa sababu mzee wangu alikuwa na maktaba na alikuwa mpenzi sana wa plays za jamaa.
Speech ya Mark Antony, ile ya "Friends, Romans, countrymen, lend me your ears" ile ndo one of the best speech katika plays zangu.Inawezekana ni kweli, maana kuna kitabu fulani hivi niliwahi kisoma, kinadai pia williama shakespeare hajawahi ku exist popote uingereza. Japo sikuitilia sana maanani hii habari.
Lingelikuwepo suala la kutokufa, Mwenyezi angeliumba dunia kivingine.Fumbo zito kivipi?
Mbona husemi kuzaliwa ni fumbo zito?
Kufa ni kawaida wala hakuna cha fumbo zito wala nini.
Sasa kama watu hawafi, Hii dunia ingetosheleza kuwa na makazi ya watu wote mabilioni kwa mabilioni?
HakikaFurahia kîla Leo
Maisha hayana huruma