Tofautisha jambazi (amekuja kuiba na kuondoka hai) na gaidi (Anajua amekuja kufa)Huyo Mungu kamuokoa tu coz Jambazi ni mbaya sana kama.anakujua pindi ukikutana NAE kwenye tukio
Nimewaza sana, life acha tu..!!
🤔Tunaweza jifunza jambo hapa, WEMA always una nguvu zaidi ya UOVU..!! *Just be nice to people you never know who they are..!!*
View attachment 998071
Amejuaje kama kaachwa kwa sababu ya kufahamiana?Kama uko serious.. Kisa kinaelezea hivI kwa tafsiri isiyo rasmi;
Kijana Reuben alikuwa ni muhudumu wa hoteli ambayo magaidi hao walikuwa wakifika mara kwa mara kujipatia kahawa na mambo mengine mpaka akazoeana nao (hakujua ni magaidi).
Sasa, pamoja na kwamba hao wateja (magaidi) kuwa wakorofi na wababe walipokuwa wakihitaji huduma, mshikaji alikuwa akiwapa huduma kwa upole na unyenyekevu ile kiroho safi.
Siku ya tukio, Reuben akiwa amelala chini na watu wengine, aliinua kichwa chake na kugonganisha macho na gaidi mmoja akamfahamu.. Gaidi akakumbuka ukarimu wa Reuben, akawaua watu wengine wote na kumuacha hai Reuben. Wema wake ulimuokoa na kifo.
Hapo vipi mkuu? Najua nimesaidia wengi.
Tofauti yake ni sifuri. Those " gaidi" and " jambazi"are just nomenclaturesTofautisha jambazi (amekuja kuiba na kuondoka hai) na gaidi (Anajua amekuja kufa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukubaliane kutokukubalianaTofauti yake ni sifuri. Those " gaidi" and " jambazi"are just nomenclatures
wewe kwenda uko...wewe ni shetani kabisa unafurahi aje kuona binadamu akiuliwamtu kama Msapere ni bullet ya kichwa straight hawezi pona kwenye situation kama hii!
sasa unikute mimi ndo gaidi halafu wewe ndo ulikuwa waiter kwa tabia hizi nakutafuta kabisa na unakuwa victim wa kwanza!wewe kwenda uko...wewe ni shetani kabisa unafurahi aje kuona binadamu akiuliwa
Asante mkuu angalau na mimi kayumba nimeelewa kitu maana nilishatoka kapaKama uko serious.. Kisa kinaelezea hivI kwa tafsiri isiyo rasmi;
Kijana Reuben alikuwa ni muhudumu wa hoteli ambayo magaidi hao walikuwa wakifika mara kwa mara kujipatia kahawa na mambo mengine mpaka akazoeana nao (hakujua ni magaidi).
Sasa, pamoja na kwamba hao wateja (magaidi) kuwa wakorofi na wababe walipokuwa wakihitaji huduma, mshikaji alikuwa akiwapa huduma kwa upole na unyenyekevu ile kiroho safi.
Siku ya tukio, Reuben akiwa amelala chini na watu wengine, aliinua kichwa chake na kugonganisha macho na gaidi mmoja akamfahamu.. Gaidi akakumbuka ukarimu wa Reuben, akawaua watu wengine wote na kumuacha hai Reuben. Wema wake ulimuokoa na kifo.
Hapo vipi mkuu? Najua nimesaidia wengi.
undefinedha ha ha,kibongo bongo lazima uhojiwe,ila hawa ni wakenya,wana upeo wa juu,wanajua hawa watu lazima walikuja kufanya casing the joint kabla ya kuvamia hapo,mhudumu hangeweza kujua kuwa hao ni watu ganiNashukuru mkuu nimekupata.....undefinedNavyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
ANAFAA KUHOJIWA KWA KINA ASIJEKUWA NDO ALIYEWAPA RAMANI NA MCHONGO MZIMA HAO MAGAIDI. SIO WA KUMWACHA KIRAHISIRAHISI ATI ALIWAKARIMU NDO WAKAMUACHA SALAMA.
SHETANI HANAGA RAFIKI, KUNA "SMOKING GUN" HAPO NIAMINI MIMI.
Kwa upelelezi wenu wa kijinga mtapigwa sana na watawatoroka hao magaidi wakijifanya ni wahanga ama wamepona pona, kwanini msifikirie huyo jamaa ndiye informer wao na alihusika kupanga njama na kuwapa ramani za jengo hilo kabla hawajaja?
Yani kwamba jamaa amepona kisa alikuwa anawapa huduma nzuri..? labda ila sidhani ikiwa wana uwezo wa kupiga risasi watu wengine wasio kuwa na hatia huyu wana weza mwacha., nina waza tuu.
Naunga mkono hoja!Nashukuru mkuu nimekupata.....
Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...
Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Mkuu umenikumbusha ile show ya Power ya 50 cent alipopewa mchongo na jamaa anaefanya kazi jewelry store. Wakenda kurob halafu akamsmoke yule jamaa alietoa mchongo.ANAFAA KUHOJIWA KWA KINA ASIJEKUWA NDO ALIYEWAPA RAMANI NA MCHONGO MZIMA HAO MAGAIDI. SIO WA KUMWACHA KIRAHISIRAHISI ATI ALIWAKARIMU NDO WAKAMUACHA SALAMA.
SHETANI HANAGA RAFIKI, KUNA "SMOKING GUN" HAPO NIAMINI MIMI.
Mkuu umenikumbusha ile show ya Power ya 50 cent alipopewa mchongo na jamaa anaefanya kazi jewelry store. Wakenda kurob halafu akamsmoke yule jamaa alietoa mchongo.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Watu waendelee ku~hack akaunti ili tuzidi kuliskia neno la Bwana. Ni nadra kupata insi wakiposti kulihusu humu1Wakorintho 13:4-8
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
Watu waendelee ku~hack akaunti ili tuzidi kuliskia neno la Bwana. Ni nadra kupata insi wakiposti kulihusu humu
Wapitie previous days kwa cctv kugundua kama kulikuwa na connection yoyote au sivyoNashukuru mkuu nimekupata.....
Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...
Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Can't buy this risto!!!Nimewaza sana, life acha tu..!!
🤔Tunaweza jifunza jambo hapa, WEMA always una nguvu zaidi ya UOVU..!! *Just be nice to people you never know who they are..!!*
View attachment 998071