Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni muhimu kua na fikra mpya na mawazo mbadala ya kisasa, kukariri kumewachelewesha wengi mambo mengi sana,Thomas Sankara alisemaga unaweza ukaua mwanamapinduzi yeyote yule lakini huwezi ukaziua Fikra !!
Akidondoka mmoja wataamka mia moja kama aliyedondoka au zaidi yake !!
Harakati ndivyo zilivyo Duniani !
ni miongoni mwa wanaharakti maarufu watakao chukiwa ghafla zaidi ya rafiki yangu sana, William Ruto wa Kenya 🐒Mwabukusi ni moja ya mpinzani ambaye anajua kucheza na akili za watanzania kwa maoni yangu huyu ni mpinzani aliye huru sana na hapendi kufungwa na fikra za vyama vya siasa yeye ni mpenda haki, huyu ni mzalendo wa kweli sidhani kama anaweza nyamaza haki ikiminywa. Huwa namuweka kundi moja na Makonda, Polepole na Dr Bashiri.
kama mchambuzi si muhimu sana kumjua vizuri bali dalili na ishara za kisiasa na kimazingira ni dhahiri ameangushiwa jumba bovu, na kwa hulka yake anakwenda kukwama kuijenga upya bali kuiharibu zaidi 🐒Je unamjua vizuri?, Hapana sio kwa yeye.
William Ruto uliwahi kusikia akitetea wanyonge mahakamani. Kitu ambacho unapaswa kufahamu ni kuwa watanzania walio wengi kwa sasa wamekosa imani na vyama vya siasa ila na wanamuamini mtu anayeonekana anatetea maslahi yao na ya nchi haijalishi yupo chama gani. Na sifa hizi anazo Mwabukusi.ni miongoni mwa wanaharakti maarufu watakao chukiwa ghafla zaidi ya rafiki yangu sana, William Ruto wa Kenya 🐒
mambo yanabadilika gentleman,William Ruto uliwahi kusikia akitetea wanyonge mahakamani. Kitu ambacho unapaswa kufahamu ni kuwa watanzania walio wengi kwa sasa wamekosa imani na vyama vya siasa ila na wanamuamini mtu anayeonekana anatetea maslahi yao na ya nchi haijalishi yupo chama gani. Na sifa hizi anazo Mwabukusi.
Kwahiyo uchaguzi wa wabunge utamkuta kastaafu uraisi wa tlsmwaka moja peke gentleman 🐒
We una akili kweli?sure,
aliingamiza na kuitokomeza kabisa TLS 🐒
Kumiliki akili limekuwa Jambo gumu Sana huko CCM?Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.
Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.
Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.
Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.
Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274