Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

Nataka tu ujue moja, na usinihangaishe tena kwa hilo. Ninapoona takataka, sina simile juu ya hiyo takataka. Uwezo wa kutenganisha takataka na mambo mazuri ninao sana. Hiyo taaluma unayoizungumzia hapa ni taaluma ya taka.
tuliza mihmko bas 🤣

hujawahi kua na mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja nzito na muhimu zinazowasilishwaga humu jukwaani,

utajiri ulionao ni mihemko tu isiyo na maana yoyote šŸ’
 
Na bado hutaki kuelewa, hicho ndiyo kiasi cha ukilaza ulicho nacho. Nakufahamisha tena, kwamba ninapoona takataka toka kwako ni lazima nizishughulikie kama takataka. Umeelewa sasa?
 
huna uerevu wowote gentleman šŸ’

unachoweza ni mihemko, dhihaka na kujipa umuhimu ambao completely huna 🤣
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Maneno ya mkosaji.
 
Watu wanatembea na roho za wengine.
And who told you Mwabukusi was intending to kugombea urais?

Hebu acheni kuzima taa za watu.
 
Mmezoea vya kunyonga, vya kuchinja hamviwezi, Mmepigana vita mmeimaliza... ubaya tu ni kwamba hamtapumzika kwa amani kwa yule Bwana!!
 
ya mtu aliekurupuka kutoka usingizini dah šŸ’
Kijana huwa unaandika vitu visivyoeleweka muda mwingi.Na hili linatokea kwa sababu mbili-tatu.Moja ni kupuuzwa.Na mbili ni kutoeleweka kwa kutojua kuandika kwa mvuto kwa msomaji kuliko kosa hoja imara.Mwisho,huwa unajionesha ni ngedere mkata umeme wa SGR.
 
Watu wanatembea na roho za wengine.
And who told you Mwabukusi was intending to kugombea urais?

Hebu acheni kuzima taa za watu.
kuamini ushirikina nayo ni mzigo mzito sana kuubeba na kutembea nao kwenye majukwaa yenye maoni na mitazamo ya kitaaluma na kitaalamu kisiasa. ni muhimu sana kurelax šŸ’
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Hili jamaa wewehaulijuaungekaa kimya. Hapo ndi kaingeza milage
 
Mmezoea vya kunyonga, vya kuchinja hamviwezi, Mmepigana vita mmeimaliza... ubaya tu ni kwamba hamtapumzika kwa amani kwa yule Bwana!!
kwamba boss mpya wa TLS anaenda kunyongwa kama marais wa TLS wa zamani Lisu au F.karume, right?šŸ’
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Nyie ndio mnamfanya mama mjinga humu mitandaoni Kila siku!

Huyo jamaa kasema wazi atapigania Katiba mpya!na katiba mpya ni agizo kwa Mama kabla hajapewa uskani,yeye akaamua kuharibu Kwa kuendekeza mitano tena!!

Kufeli Kwa mama kuhusu Katina mpya ndio kumemuibua na Hilo ni pigo kwetu CCM,kwamba hatuaminiki Tena kuhusu katiba!

Huyo jamaa atalindwa na jamhuri na move zake zitakua na impact Kwa chama chetu Tena tunaumbuka!

Sasa tuna marais wawili mmoja anaungwa mkono na wapinzani na atapigania katiba mpya ambayo Dola iliamini sisi ndio tutaitengeneza!

Ni aibu kwetu!

Ngoja uone!
 
hebu eleza vizuri tena gentleman, kwa namna nyingine šŸ’
 
Ni viumbe wa Mungu.Akiona na komenti nyingi anadhani ana kitu kichwani kumbe bure beleshi. Prrrrrr!
mofilisi mnapeana moyo baada ya kukosa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mezani dah 🤣
 
Back
Top Bottom