Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

Thomas Sankara alisemaga unaweza ukaua mwanamapinduzi yeyote yule lakini huwezi ukaziua Fikra !!

Akidondoka mmoja wataamka mia moja kama aliyedondoka au zaidi yake !!
Harakati ndivyo zilivyo Duniani !
ni muhimu kua na fikra mpya na mawazo mbadala ya kisasa, kukariri kumewachelewesha wengi mambo mengi sana,

mambo yanabadilika gentleman πŸ’
 
ni miongoni mwa wanaharakti maarufu watakao chukiwa ghafla zaidi ya rafiki yangu sana, William Ruto wa Kenya πŸ’
 
Je unamjua vizuri?, Hapana sio kwa yeye.
kama mchambuzi si muhimu sana kumjua vizuri bali dalili na ishara za kisiasa na kimazingira ni dhahiri ameangushiwa jumba bovu, na kwa hulka yake anakwenda kukwama kuijenga upya bali kuiharibu zaidi πŸ’
 
Kumbe ccm wameumia ushindi wa Boni
sure,
boni ameumizwa sana na kususiwa na nduguze kwenye kundi la mamba wakali pekeyake, tena kwa makusudi kabisa dah πŸ’
 
Angeshinda wa ccm machawa mngeanza kumsifia kizimkazi, ila mmezidiwa kete mkae kwa kutulia.

Tlaatlaah na Etwege wamekuwa pinga pinga.
umefilisika ideas, umekosa hoja na fikra mbadala dhidi ya hoja mezani, umeamua kutaja taja majina tu tena kwa mistari isiyo na vinaπŸ’
 
ni miongoni mwa wanaharakti maarufu watakao chukiwa ghafla zaidi ya rafiki yangu sana, William Ruto wa Kenya πŸ’
William Ruto uliwahi kusikia akitetea wanyonge mahakamani. Kitu ambacho unapaswa kufahamu ni kuwa watanzania walio wengi kwa sasa wamekosa imani na vyama vya siasa ila na wanamuamini mtu anayeonekana anatetea maslahi yao na ya nchi haijalishi yupo chama gani. Na sifa hizi anazo Mwabukusi.
 
mambo yanabadilika gentleman,

kwavyo umekariri wanyonge hutetewa mahakamani pekee, right?πŸ’

nje ya mahakama mnyonge hana mtetezi right?πŸ’

Lakini pia ni muhimu zaidi ukaachana na Imani za kishirikina sijui za kuamini chama au mtu fulani, utapotea gentleman...

Amini Mungu Pekee πŸ’
 
Kumiliki akili limekuwa Jambo gumu Sana huko CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…