Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

Haya ni maneno ya Watu walioshindwa.
 

Unabandika kutokea pande zipi Mkuu ,umemfahamu Jana Mwabukusi
 
huku nafsi ikikusuta
 
Wadanganye Wajinga Wenzio
relax cousin wa chairman,

usidhihaki familia hii yenye heshma kubwa mno humu nchini,
kama umefikia ukomo wa fikra mpya au mawazo mbadala na huna hoja just rest kiungwana na roho safi πŸ’

but for sure jamaa ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa kali sana πŸ’
 
relax cousin wa chairman,

usidhihaki familia hii yenye heshma kubwa mno humu nchini,
kama umefikia ukomo wa fikra mpya au mawazo mbadala na huna hoja just rest kiungwana na roho safi πŸ’
Watishe wajinga wenzio
 
Huyu jamaa nilisikia anataka Ubunge, je anaweza kugombea ubunge akiwa na nafasi yake hiyo?
inawezekana kinadharia, lakini kivitendo ni kazi nzito mno kutumika katika taasisi hizo mbili zenye majukumu makubwa na muhimu kwa mustakabali mwema wa Taifa πŸ’
 
Watishe wajinga wenzio
ni utamaduni wa wenye kiburi, majivuno na waliokosa hoja kudhihaki na kudharau au kudhihaki maoni na mitazamo ya wengine iliyokinyume na yako πŸ’

heshima na kupendana ni muhimu zaidi,
hata hivyo boss mpya wa TLS ndio basi tena imetoka kwenye majukwaa ya kisiasa na harakati πŸ’
hivyo hivyo alivyo, anaweza kugombea hata ubunge akapata, na anaweza kuwakilisha wateja mahakamani, sioni nini kimepungua.
rejea mabossi wawili kabla ya Rais Adv.Sungusia anaemaliza muda wake πŸ’
 
Sema hivii wale waovu wa wizi kwenye mabox ya kula wamezidiwa kete na wapenda haki na wanaoamini uwepo wa Mungu kwa uhalisia.
 
Huyo sio type hiyo, si chawa, si wa kujikomba au muoga kiasi cha kuogopa kufanya lolote
 
 

Attachments

  • VID-20240803-WA0017.mp4
    8.5 MB
Mbona walimuengua, na mbona walituma mamluki kupiga kura?

Akili za kiccm bana zinawaza uharibufu tu muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…