Pesa nikama mto , uenda mbele bila kurudi nyumaAma kweli tunatofautiana. π
Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zako na huna madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa.
Mwisho wa siku, utajiri si tu kiasi ulicho nacho, bali ni kiwango cha kile kinachokutosha. π°
10 Billion haifikii hata 5 million dollarsSidhani π kuna mda mirija ya pesa inatiririka tu unastaafu vipi?
Kibongo bongo hakuna anaeweza pata tu 10 from no where bila kuuizalisha labda awe fisadi serikalini
Hii ni siri ambayo watu maskini hawaijui hudhani kwamba tajiri mambo yamemnyookea tu automatically hawajui kuwa huo utajiri ulipatikana kwa shida,kwa kujitoa muhanga,kwa kuvuja damu na jasho,wakirelax tu utajiri unapotea wanarudi kapuku tena.Sidhani π kuna mda mirija ya pesa inatiririka tu unastaafu vipi?
Kibongo bongo hakuna anaeweza pata tu 10 bilion, from no where bila kuizalisha labda awe fisadi serikalini
Levels.Ama kweli tunatofautiana. π
Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa.
Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza kila moja asepe na chake
Mwisho wa siku, utajiri si tu kiasi ulicho nacho, bali ni kiwango cha kile kinachokutosha. π°
Niliona Jay Z na Beyonce wanaishi kwenye nyumba ina thamani ya $200 million Sawa na bilioni 529.4 kwa Tshs.. hio ni nyumba tu....Levels.
Hiyo hela kuna nyumba Oysterbay hujanunua bado.
There is always gonna be a thing your money cant buy, hata Elon ni tajiri na kuna kampuni kama Twitter aliweza kuinunua lakini hana pesa ya kuinunua google, microsoft, apple, n.k.Levels.
Hiyo hela kuna nyumba Oysterbay hujanunua bado.
Kama kitu ambacho Elon hawezi kununua ambacho kinahitajika na mwadamu kununuliwa ππThere is always gonna be a thing your money cant buy, hata Elon kuna vitu hawezi kununua.
ila 10 Billion doesnt sound that bad kustaafu haso za bongo especially ukishafika 40
Lazima kutakuwa na kitu ambacho hutaweza kununua kwa pesa uliyonayo, ni jambo la kuweza kuishi ndani ya kipato chako na bilioni 10 ukiwa nayo hata ukiishi kwenye nyumba ya milioni 500 mbona poa tu.Niliona Jay Z na Beyonce wanaishi kwenye nyumba ina thamani ya $200 million Sawa na bilioni 529.4 kwa Tshs.. hio ni nyumba tu....
Sasa uwe na hizo bilioni 10 kwa ukijiona tajiri Kuna siku unatembelea kwa mtu unakuta hizo bilioni 10 zipo parking(magari). Unaanza kujiona masikini.. unatamani na wewe upate zaidi...
Haya maisha ya ajabu sana...
As long as kuna njia ya kuzizungusha katika investment hata passive.There is always gonna be a thing your money cant buy, hata Elon kuna vitu hawezi kununua.
ila 10 Billion doesnt sound that bad kustaafu haso za bongo especially ukishafika 40
Elon hawezi kununua kampuni kama Microsoft, Google, Apple, n.k.Kama kitu ambacho Elon hawezi kununua ambacho kinahitajika na mwadamu kununuliwa ππ
Ajabu ukistaafu na hio miaka 40, ukifika 50 unajiona mjinga kwanini usingekomaa pengine ungefika mbali zaidi..There is always gonna be a thing your money cant buy, hata Elon kuna vitu hawezi kununua.
ila 10 Billion doesnt sound that bad kustaafu haso za bongo especially ukishafika 40
Labda wewe ujione mjinga, nchi zilizoendelea, kuna kitu inaitwa FIRE (Financial Independence, Retire Early)Ajabu ukistaafu na hio miaka 40, ukifika 50 unajiona mjinga kwanini usingekomaa pengine ungefika mbali zaidi..
Umeenda kwenye angle tofauti. Ingawa upo sahihiElon hawezi kununua kampuni kama Microsoft, Google, Apple, n.k.
Aliweza kununua twitter lakini hizi kampuni zina thamani kubwa kuzidi utajiri wake
Huyo maisha yake kashaamua yawe ni pesa,Mkuu hiyo hela wengine wanachangia chamaView attachment 3663640
Lazima kutakuwa na kitu ambacho hutaweza kununua kwa pesa uliyonayo, ni jambo la kuweza kuishi ndani ya kipato chako na bilioni 10 ukiwa nayo hata ukiishi kwenye nyumba ya milioni 500 mbona poa tu.