- Thread starter
- #21
Maisha ya kustaafu umeamua kutulia mkoani unaweza usitoke nje ya mkoa hata kwa miaka mitano, ndege ya nini sasa 😀Suala ni kuhakikisha spend..
Bilioni 10 hata private jet ya maana hupati..
Lakini elewa ukipata hio pesa pasipo kuendelea kujituma utafilisika ndani ya muda mchache unless uishi below average... na kuishi below average ni kipaji.. si kila mtu anacho...
Kuna mifano mingi sana ya watu walioshinda lottery hadi dola milioni 100 na baada ya miaka michache wakafilisika...
ikitokea emergency huwezi kukosa 10 million ya kukodi private
matumizi yako hata yawe milioni 10 kila mwezi utaweza kuishi vizuri tu
ila cha muhimu hela iwe na kinga ya kupunguza athari za inflation mfano kununua bonds