Maisha ya kustaafu umeamua kutulia mkoani unaweza usitoke nje ya mkoa hata kwa miaka mitano, ndege ya nini sasa 😀Suala ni kuhakikisha spend..
Bilioni 10 hata private jet ya maana hupati..
Lakini elewa ukipata hio pesa pasipo kuendelea kujituma utafilisika ndani ya muda mchache unless uishi below average... na kuishi below average ni kipaji.. si kila mtu anacho...
Kuna mifano mingi sana ya watu walioshinda lottery hadi dola milioni 100 na baada ya miaka michache wakafilisika...
Kuhusu ndege nilikuwa na maana ya kwamba ni pesa ambayo ukistaafu na kukaa pasipo kuzalisha itaisha tu..Maisha ya kustaafu umeamua kutulia mkoani unaweza usitoke nje ya mkoa hata kwa miaka mitano, ndege ya nini sasa 😀
ikitokea emergency huwezi kukosa 10 million ya kukodi private
Nidhamu ni kitu muhimu sana, bila nidhamu utafunzwa kwa uchunguInakuwa ngumu kwa sababu walishajitengenezea matumizi makubwa, sehemu unayonunua wewe Pepsi kwa 1000, yeye anaenda sehemu ambayo pepsi ileile ya 1000 inauzwa 10,000/=
1) Tatizo hizo billion huwepo kwenye HISA au BOND au kwenye mzunguko wa biashara.Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10
Usisahau na kusafiri(Family vacation) na matibabu na watoto kusoma shule za harama nchini na nje ya nchi. Pia hela inashuka samani kwahio lazima uwende na value yake.Inakuwa ngumu kwa sababu walishajitengenezea matumizi makubwa, sehemu unayonunua wewe Pepsi kwa 1000, yeye anaenda sehemu ambayo pepsi ileile ya 1000 inauzwa 10,000/=
Mkuu umeiweka vyema sana hii.10 Billion haifikii hata 5 million dollars
Amini kwamba kuna vijana hata wa 90s wanazo
Achana na hawa wasanii, kuna vijana wapo just quiet lakini pesa wanayo
- Madini - nchi imejaa madini hii na yanatajirisha wengi, shida ya watu wengi wa huku nidhamu ya pesa ni zero, wanatumia pesa bila discipline
- Utalii - Kuna pesa sana humu tofauti yao na wa madini hawana kelele
- Logistics - watu kila siku wanahitaji kusafirisha bidhaa
- Trading - Kariakoo ndio lango la nchi kama 7 zinazotuzunguka, kuna watu wanaagiza mizigo ya bilion na ikifika tu wanauza hata kwa faida ya bilioni 2, Gari inaenda Congo imejaa betri za simu ndogo zimenunuliwa China kwa 300 zinauzwa buku buku kwa jumla
Halafu sasa nje ya hapo ndo kuna wazee wa siasapreneurship, hao pesa wanayo ndefu sana
Kama watoto wamekuwa na wamemaliza elimu za vyuo, ni wakati sasa CEO ku step down and leave the younger generation to take over. Tumeona kwa MO Dewji, ambaye tunamchukulia kama role model of entrepreneurship.Money dynamics never give the owner a rest!
... same as trying to contain a restless dragon!
Mkuu hiyo hela wengine wanachangia chamaView attachment 3663640
Your worth is not for what you have or for who you are..but is for others become because of youAma kweli tunatofautiana. 😂
Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa.
Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza kila moja asepe na chake
Off course hela haiwezi kuwa ya kutumia tu, mfumuko wa bei (inflation) utashusha thamani ya pesa, kiasi cha fedha mfano bilioni 6 inabidi kiwekezwe kwenye vitu kama Treasury Bonds za muda mrefu kama miaka kama 10.
Mwisho wa siku, utajiri si tu kiasi ulicho nacho, bali ni kiwango cha kile kinachokutosha. 💰
mkuu kwahyo ukiipata hiyo 10 B wewe unaanza kula mpaka utakavyokufaAma kweli tunatofautiana. 😂
Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa.
Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza kila moja asepe na chake
Off course hela haiwezi kuwa ya kutumia tu, mfumuko wa bei (inflation) utashusha thamani ya pesa, kiasi cha fedha mfano bilioni 6 inabidi kiwekezwe kwenye vitu kama Treasury Bonds za muda mrefu kama miaka kama 10.
Mwisho wa siku, utajiri si tu kiasi ulicho nacho, bali ni kiwango cha kile kinachokutosha. 💰