SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
ali komwe utakufa kabla ya siku zako shauri yakoHii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wydad yupi angekuwa mzuri labda? Aliyegongwa na jwaneng? Au aliyepasuliwa na Asec? Ebu tueleze ubora wa wydad ulipo?Mnyama angefungwa way dad angekuwa MZURI[emoji1787][emoji1787].
Wamecheza fainali juzi juzi wameshakuwa wabovu?Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo🤣🤣🤣
Mnyama angefungwa way dad angekuwa MZURI[emoji1787][emoji1787].
Basi uwe unaandika 'Hongereni'na siyo 'Ongereni'Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi msemeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wydad Leo walizidiwa nje ya uwanja, Leo Wydad walitengeneza nafasi 3/4 za kufunga ila zote wamekosa.
Simba wametengeneza nafasi 3 na mbili wamefunga.
Tena nafasi za Wydad zilikua za wazi kabisa ila walishatenezwa Waka tengenezeka[emoji2][emoji2]
Utopolo mnaweza kumfunga wydad?au mnaongeq tu Utopolo. Wydad sio wabovu kama mnavyodhani Utopolo. na hata hivyo simba imepiga hatua kubwa kwenye haya mashindano ana uzoefu.kuwapiga goli mbili wydad sio bahati ni MIPANGOWydad yupi angekuwa mzuri labda? Aliyegongwa na jwaneng? Au aliyepasuliwa na Asec? Ebu tueleze ubora wa wydad ulipo?
Ni wivu tuMakolokolo yatakupinga kwa kejeli tu maana hawajawahi kuwa na upeo in Aden Rage's voice.