Ama kweli Wydad wakubali kuanza upya kuijenga timu yao, kwa timu hii waliyonayo na uchezaji wao kazi wanayo!

Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.

Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!

Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!

Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!

Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ali komwe utakufa kabla ya siku zako shauri yako
FB_IMG_1701840960728.jpg
 
Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.

Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!

Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!

Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!

Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo🤣🤣🤣
Wamecheza fainali juzi juzi wameshakuwa wabovu?
 
Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.

Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!

Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!

Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!

Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi uwe unaandika 'Hongereni'na siyo 'Ongereni'
 
Wydad Leo walizidiwa nje ya uwanja, Leo Wydad walitengeneza nafasi 3/4 za kufunga ila zote wamekosa.
Simba wametengeneza nafasi 3 na mbili wamefunga.
Tena nafasi za Wydad zilikua za wazi kabisa ila walishatenezwa Waka tengenezeka[emoji2][emoji2]
Hadi msemeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wydad yupi angekuwa mzuri labda? Aliyegongwa na jwaneng? Au aliyepasuliwa na Asec? Ebu tueleze ubora wa wydad ulipo?
Utopolo mnaweza kumfunga wydad?au mnaongeq tu Utopolo. Wydad sio wabovu kama mnavyodhani Utopolo. na hata hivyo simba imepiga hatua kubwa kwenye haya mashindano ana uzoefu.kuwapiga goli mbili wydad sio bahati ni MIPANGO
 
Back
Top Bottom