Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

Ni kama kusema kabadilisha mikoa miwili ya DRC .....kua na lami naumeme....Rwanda padogo sana.....ni rahisi kujenga miundo mbinu.
Au kabadilisha kua ya watusi pekee
Ukubwa wa jiografia ya nchi siyo kipimo cha maendeleo mkuu. Visiwa vya japan ni eneo dogo sana lakini Afrika nzima hatuwezi kuukuta uchumi wa japan.
 
Ukubwa wa jiografia ya nchi siyo kipimo cha maendeleo mkuu. Visiwa vya japan ni eneo dogo sana lakini Afrika nzima hatuwezi kuukuta uchumi wa japan.
Upo sahii mkuu ila maendekeo ya rwanda ni network ya barabara tu na maghorofa kigali......nitajie nchi ndogo ambayo haina miundombinu ya barabara thabiti.....!!!
Labda equatorial guinea...!!!
Maana wanyarwanda wanamsifia kagame kujenga barabara nchi nzima......na kujenga maghorofa na barabara za mitaani kigali..!!!
 



 




Karibu sana duniani.
 
Mh Kikwete aliwazima ndani ya siku moja ni kwamba tu watu hawajaamua
 
80% ya Wananchi wa Rwanda ni Wahutu.

nchi kama Tanzania zinatumia Hekima kudeal na Rwanda, tungeamua kutumia Silaha ya Ukabila tungewachukua hao Waasi wa Kihutu na kuwapea Mafunzo kigoma na Kagera, kama Rwanda Mwanaume angejaribu aone, the same approach tulifanya Uganda, Iddi Amini alipojichanganya tu mzikia akausoma
 
Wewe kumbe unasoma mada za watu na hujawahi kuishi Kigali au kisangani au Miduha au Kasongo....!!!
Kumbe ww ni wale wasoma makala za waandishi wa habari afu mnajifanya wajuaji kuliko wakazi wenyewe.
Sasa sisi tulioishi miongo mitatu tusemeje???
Hujawahi kushuhudia hata battle moja kati ya vikosi vya FARDC na washirika wake dhidi ya wanyarwanda na waganda zaidi ya kusoma vijarida...!!!
 
Kagame na Museveni wanapenda sana Vita.
Toka waingie madarakani wanapigana kila kukicha.
M23 ni yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…