Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Muombe Sana Mungu hali uliyonayo muda huu isije kuwa tofauti hapo baadae
 
Kwa hiyo tufanyaje ili tuipate haki? Na kwa nini haikupatikana kabla ya haya mauaji?

Muombe Sana Mungu hali uliyonayo muda huu isije kuwa tofauti hapo baadae
Na wewe pia muombe Mungu akujalie siha njema usitafute yasiyopaswa fanya shughuli zako ingiza kipato chako furahi na marafiki zako
 
amani gani na wewe unatumia VPN kuleta ujinga wako
 
Back
Top Bottom