Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

Wewe na wapumbavu wenzako najaribu kuwaelimisha

Amani ni tunda la haki
Huhitaji kuombea amani kama haki haitendeki
Haki ndo inaleta amani
Usipoteza muda wako kwa hao watu.
Mtu akwa au akijiunga na ccm uwezo wa kufikiri (hata mambo ya kawaida tu) hupotea kabisa.
Ni akina Msigwa hao...usisumbue kichwa chako bure.
 
Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
hapo kwenye amani bandika neno HAKI, sentensi yako itakuwa na uzito mara tatu ya uliomaanisha, k
mana hakuna amani bali ni woga na njaa vimetamalaki
 
Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Mkuu,

Kama kuna mwana JF kapotea au kapoteza naisha na hawezi kuja kusema hapa kuwa kapotea au kapoteza maisha, kwa sababu kapotea au kapoteza maisha, utajuaje kuna mwana JF kapotea au kapoteza maisha?
 
Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Amani haiwezi kuwepo bila HAKI. Tujue tu hakuna kitu kirahisi kupata kama kibiriti bila haki tutegemee moto mkubwa zaidi na zaidi. Kama kweli tunataka amani ni lazima tuwe na HAKI bila hivyo tutajidanganya na iko siku nchi yote itakuwa majivu niamini kwa hili
 
Back
Top Bottom