Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

Duniani hakuna haki, tuitunze amani tulio nayo tukiipoteza hatutaipata tena.
Usikaririshwe amani amani kama zuzu au zezeta
Amani inalindwa Kwa kuwatendea watu haki
Huwezi kunyima watu haki ya kuishi alafu uwaimbie amani wewe mjinga
 
Usikaririshwe amani amani kama zuzu au zezeta
Amani inalindwa Kwa kuwatendea watu haki
Huwezi kunyima watu haki ya kuishi alafu uwaimbie amani wewe mjinga
Kwa hio mkuu haki inapatikana kwa kuharibu miundombinu na kuua askari?
 
Wenye akili hutafuta chanzo kwanza

Chanzo Cha maandamano ilikuwa Nini

Usijibu kama mjinga aliyesema waliondamana wote ni wakenya

Watanzania sio wendawazimu waandamane
Mnatamani nchi iingie kwenye machafuko halafu wanaokuja kuteseka ni masikini, mshaitia doa nchi yetu kwa kutaka kushindana na mamlaka.
 
Back
Top Bottom