Usipoteza muda wako kwa hao watu.Wewe na wapumbavu wenzako najaribu kuwaelimisha
Amani ni tunda la haki
Huhitaji kuombea amani kama haki haitendeki
Haki ndo inaleta amani
Niko salama kabisa! Tangu jana nipoo.. maybe hawa wenzetu sijui wako wapi?
hapo kwenye amani bandika neno HAKI, sentensi yako itakuwa na uzito mara tatu ya uliomaanisha, kTuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Npo madam 😀Niko salama kabisa! Tangu jana nipoo.. maybe hawa wenzetu sijui wako wapi?
sijawaona leo
dosho12 Mwachiluwi @Poker @Vincenzo Jr @makaveli10 min -me Tayana-wog cocastic
Mbona hawara ya bibi yako wa kambo mzaa babu ya haonekani jamvini SAYNGAY weweTuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Salama kabisa 🤝
Harmful wapi mkuuTuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Wewe ndiye msemaji wao?Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
We utakuwa umefufuka au mzimu wako, waliokufa kupigania wanadamu hawapo hapa.Mkuu acha nife nikipigania haki za watanzania, hata Yesu alikufa kwa kupigania wanadamu
Mkuu,Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Amani haiwezi kuwepo bila HAKI. Tujue tu hakuna kitu kirahisi kupata kama kibiriti bila haki tutegemee moto mkubwa zaidi na zaidi. Kama kweli tunataka amani ni lazima tuwe na HAKI bila hivyo tutajidanganya na iko siku nchi yote itakuwa majivu niamini kwa hiliTuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
Huku tuko mkuu, tunamshukuru munguNipo mkuu salama kabisa ,vip upande wako kiongozi
Duniani hakuna haki, tuitunze amani tulio nayo tukiipoteza hatutaipata tena.Wewe na wapumbavu wenzako najaribu kuwaelimisha
Amani ni tunda la haki
Huhitaji kuombea amani kama haki haitendeki
Haki ndo inaleta amani