Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

Asante mama! Umesema yote! Kwenye haya maisha epuka sana kitu ambacho unahisi kitakukosesha amani!
 
Kusanya data za kutosha hata unavyochukua maamuzi kusiwe na upande Wa kulalamika.
 
Mwanangu ww ni ****ndu kinyama, yote hayo ni kwa sababu unahisi unachapiwa? Umedukua simu yake ukagundua hamna chochote unataka nn tena? Unamwekea mke wako spy kazini una akili kwel mura? Nakushauri tafuta kazi ya kufanya ili uache huu ujinga ulionao.

NAKUSIHI SANA, HIYO NGUVU UNAYOITUMIA KUMCHUNGUZA MKE IHAMISHIE KUMLINDA MWANAO WA KIUME UTANISHUKURU BADAE.
 
Kweli kabisa ila tatizo ni kwamba info's zake anamtegemea mtu hajathibitisha yeye mwenyewe, binafsi naona alifuatilie hilo swala yeye kama yeye au hata kama anamtegemea mtu ampe taarifa ampatie ushahidi usio na mashaka Kisha sasa akae chini na mke wake aongee naye vizuuuur kama hatobadilika sioni umuhimu wa kuendelea kuwa pamoja aachane naye tu .
 
Isikutoe kwenye reli waache kama walivo wakichokana wataachana usipozingatia hili utakosa kilakitu hapa duniani na utaishia kuchizika
 
Acha mawazo maovu, kuna watu wa jinsi tofauti wako so close lakini hawana mahusiano unayowaza.



Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Usimchunguze mkeo ....utakipata unachokitaka siku moja afu kitakuumiza sana kama sio kukupindisha mdomo na upande wa mwili kupooza... Akiliwa na wewe kale tu.
 
Mimi huwa siwaelewi wakulungwa wanaokuja kuomba ushauri huku kuhusu wenza wao humu ndani.

Muamuzi wa mwisho ni wewe na moyo wako, Mapenzi hayashauriwi hata siku moja tumia akili ya kiume kufanya maamuzi.

Humu ndani unaweza pewa ushauri na dogo ambae ndio kwanza ana balehe.
 
Blaza Pole Sna..Ila Kifupi Hiyo Game Washamaliza Kitambo..
 
Mkuu acha mimi nikuibie siri. Ukiona huyo mke wako na huyo mfanyakazi mwenzake haupati mawasiliano yao, usikae kizembe fuatilia mawasiliano ya mke wako na huyo private investigator wako (informer).

Utakuta huyo informer wako ndio anakuibia mke halafu anakupa info tofauti kukupotezea muda kufuatilia kitu ambacho sicho wakati huo wao wana enjooy.
 
Tunamtaka mke/hawara/demu wako tupite naye
 
Kataa ndoa , ndoa Ni mchezo wa pata potea
Ndoa Ni uwaki
ndoa Ni kukosa kazi


kwanza we una gari?

unafanya kazi?

huko kazini kwako tafuta co worker mpeleke lunch na wewe

 
Mkuu
Mambo ni mengi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Daaaa ukionaa manyoya ......kuna kity kinapikika ahapooo.....
 
Wenzako wanajibamba na kufurahia, we unalia lia na kuishia kama kishoya cha sigara au bangi kwenye lizla.

# Be a man, stay Hamas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…