Nimeanza kusocialize wiki kama 2 zilizopita baada ya kusemwa sana. Kiukweli socialising is overrated. Soon I'll be back to my introvert modeHunywi Bia,
Una aibu,
Introvert,
Mkimya.
Na sio kusema kwamba unywe kila siku ila angalau mara moja kwa wiki siku kama Friday unaenda kupata kinywaji, aibu inakutoka, unakuwa mwepesi ku ocialize, kuconect na watu, n.k.
Pombe sio kitu pekee cha kusocialize lakini ni moja ya kitu ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa sana kwa watu ku socialize,Huwa nashangaa sana ninpowaona walevi wakifikiri pombe ndio kitu pekee cha ku socialize kwenye dunia.
Kwa introvert sio kwamba hawezi ku socialize ila ubongo wake haupendi asocialize, hapo ndio inabidi upige hata bia moja ku relax ubongo, kuna watu wakimya lakini wakipiga moja au mbili wanaimba hadi KARAOKE ile miziki inayoonyesha maneno kwenye screen unafuatiliza 😂Nimeanza kusocialize wiki kama 2 zilizopita. Kiukweli socialising is overrated. Soon I'll be back to my introvert mode
Sasa kama unajua hivyo uzi huu wa nini?Pombe sio kitu pekee cha kusocialize lakini ni moja ya kitu ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa sana kwa watu ku socialize,
Zunguka karibu makabila yote kuna POMBE
Itrovert anaweza kujichananya ila hataki tu na inaweza kuwa ngumu kumjua, mfano OBAMAIntrovert ni ugonjwa kama autism nashangaa watu kujisifu utaahira
Introvert ni ugonjwa kama autism nashangaa watu kujisifu utaahira
Itrovert anaweza kujichananya ila hataki tu,
Autism hawezi hata kujichanganya, anapata wakati mgumu kujua hata cha kuongea, hapa ndio wabongo wengi walipo wanasingizia ni introvert
Nenda kadanganye wanakijiji wa Namtumbo hukoIntrovert ni ugonjwa kama autism nashangaa watu kujisifu utaahira
Binafsi sikosi cha kuongea, hata presentation za chuo huwa napresent vizuri na napata marks zote tena mbele ya umati. I just choose to stay quiet and alone most of timeItrovert anaweza kujichananya ila hataki tu,
Autism hawezi hata kujichanganya, anapata wakati mgumu kujua hata cha kuongea, hapa ndio wabongo wengi walipo wanasingizia ni introvert
Hicho ni kichaka soma hadi mwisho hilo dude lako utaelewaNenda kadanganye wanakijiji wa Namtumbo huko
View attachment 3535294
Utaahira ni kuumia kuona kuna watu ni Introverts around youHicho ni kichaka soma hadi mwisho hilo dude lako utaelewa
Kujisifu uintrovert ni utaahira kwanza kamsome Jung mwenyw ndo utaelewa namaanisha nini
Yani Tanzania watu hawataki uishi kwa amani. Kila mtu anataka uishi kwa misingi yaoBora introverts, kuwa atheists bongo ndio muziki wenyewe haswa.
Bongo bado ni backward society kwa kiasi kikubwa.Yani Tanzania watu hawataki uishi kwa amani. Kila mtu anataka uishi kwa misingi yao
Kila mtu anataka uwe unasocialize, kila mtu anataka uwe unaenda kusali yani kupangiana kwingi bila kujua wanafanya maisha ya wenzao kuwa magumu kwa kuwakosesha raha
Mtu akichagua kuwa atheist, utaona wabongo wanavyomsema vibaya. Usipowapigia simu ndugu zako ni kosa, ukiwa mkimya ni kosa. Hata mtu akitumia hela zake kuyaishi maisha utasikia anatumia hela vibaya. Bongo bhana
Autism ndio kubwa zaidi na kwa bahati mbaya wengi wanayo lakini hawajapima, Autism unamkuta mtu ni mzito kusocialize, mkimya kwasababu uwezo mdogo sana n.k. lakini pia huwa wapo vizuri kufanya vitu vinavyohitaji attention kubwa.Binafsi sikosi cha kuongea, hata presentation za chuo huwa napresent vizuri na napata marks zote tena mbele ya umati. I just choose to stay quiet and alone most of time
Na ninajua watu kadhaa around me ambao wako kama mimi. In fact Bongo wenye autism ni wachache. Kuna a lot of extroverts huwa hawana hata confidence kwenye kufanya presentation na hawajui waseme nini lakini wakiwa na marafiki zao wanapiga sana story na kuongea sana, utasema na hawa pia wana autism kwa kuwa hawawezi kuongea mbele za watu?
Autism ni rare kuliko introversion, I've seen a lot of introverts but never in my life have I seen an autistic person and I've never been outside Tanzania in all my life