Ambao hamnywi bia na ni wakimya, wenye aibu au introverts, huwa mnasocialize vipi ?

Ambao hamnywi bia na ni wakimya, wenye aibu au introverts, huwa mnasocialize vipi ?

Unawashauri nini watu wanaojiita introverts. Do you have a better advise that will make their lives better?
Kwani kua introvert ndio kua na life ya hovyo? Na kutokua introvert ndio kua na better life?

Better life ni kuishi upendavyo wewe na sio wapendavyo wengine,

Love the life you live
Live the life you love.
 
Nimemuuliza kwa sababu hapendi kuona watu wanajiita introverts na kumbuka kama watu kujipa hiyo label kunawafanya wafurahie maisha yao, basi ni vizuri kuwa wanafanya hivyo
Lakini Bufa inaonekana hapendi kwa hiyo namuuliza anashauri nini watu wanaojiita introverts
 
Hana cha kuwashauri wala hana mamlka ya kuwaambia watu waishi kama anavyotaka yeye na sio kama wanavyotaka wao,kila mtu anaishi maisha aliyoyachagua,

Ukiona mtu anakereka na lifestyle ya mtu mwingine,basi tambua kua mwenye tatizo ni huyo mtu na sio wao.
 
Yani Tanzania watu hawataki uishi kwa amani. Kila mtu anataka uishi kwa misingi yao
Kila mtu anataka uwe unasocialize, kila mtu anataka uwe unaenda kusali yani kupangiana kwingi bila kujua wanafanya maisha ya wenzao kuwa magumu kwa kuwakosesha raha

Mtu akichagua kuwa atheist, utaona wabongo wanavyomsema vibaya. Usipowapigia simu ndugu zako ni kosa, ukiwa mkimya ni kosa. Hata mtu akitumia hela zake kuyaishi maisha utasikia anatumia hela vibaya. Bongo bhana
Knowledge ndio tatizo , sehemu kubwa ya JAMII yetu Ina lack of intelligence people
 
Nimeweka links kwenye hiyo comment uliyoni-quote zipitie.

Hii ni worldwide trend. Hata nje vijana wanaochipukia nao wanavaa hizi labels like its a badge of honor. Bongo napo ndo Hawa kila siku wanakuja humu na nyuzi na kujiita stupid labels ili waonekane special.

Dunia ya Leo huwezi kuta mtu hata mmoja anasema yeye ni extrovert, anapenda watu, anapenda kujichanganya, anapenda kuwa life of the party, anapenda to cheer up others. Ili uwe mjanja inabidi useme hupendi watu, hupendi kusocialize nk. Si hapa jf wala huko nje.

Mood swings is what makes humans humans. Huwezi kuwa mtu yule yule mazingira tofauti. It's called being a human.

Subiri next week mwingine akisikia tena neno introvert ataanzisha tena uzi.
Mbona hapa tunae Extrovert and he's so proud kuwa extrovert!?
 
Hapa ndio sielewi. What's wrong with people giving themselves labels ili wajione special. What's wrong with this and why does it bother you
Watu wanajipa label toka enzi na enzi, huwezi kuzuia hilo. Nyinyi mlitaka muwaseme vibaya introverts halafu waendelee kujisikia vibaya kila siku kwa malalamiko yenu, dunia nzima ilishafanya introverts kuwa kundi weak la kuwasema vibaya na kulazimisha wajione sio binadamu wa kawaida. Mlitegemea nini, waanze kujinyenyekeza kwenu ili wawe kama nyinyi?
Kama wameshapata njia ya kufanya wajione cool then it's a good thing. Isn't it?
😁😁😁 Ww3 at is own level
 
Kuna tofauti kati ya mood swings na personality types.
Mood swing ni temporary, your personality is permanent.
Kwa undani zaidi soma Psychological Types by Carl Jung.
Ningekuambia usome, Quiet: The Power of Introverts in a World That Can't Stop Talking-by Susan Cain lakini inaonekana una bifu binafsi na introverts😁
Sure indeed
 
Knowledge ndio tatizo , sehemu kubwa ya JAMII yetu Ina lack of intelligence people
Hii ni kweli mkuu. Imagine mtu anaumia kuona mwenzake ni introvert, we have a long way to go as a community
 
Hana cha kuwashauri wala hana mamlka ya kuwaambia watu waishi kama anavyotaka yeye na sio kama wanavyotaka wao,kila mtu anaishi maisha aliyoyachagua,

Ukiona mtu anakereka na lifestyle ya mtu mwingine,basi tambua kua mwenye tatizo ni huyo mtu na sio wao.
This is the best comment ever. Do what feels right to you as long as it's your life you're living
 
Mimi ni mzungumzaji Ila naona nakera au kusumbua watu hivyo nilijipa kuwa mkimya kwa miaka kadhaa sasa,

Sehemu kama uwanja wa taifa, matamasha makubwa yenye watu wengi siwezi kuhudhuria sipendelei naona jau

Mimi sio introvert

Introvert yupo nyuma ambaye ni secretarybird mbamizwa ndege, na Poor Brain mbamizwa kobaa wa kusini mwa Africa
 
Huwa nashangaa sana ninpowaona walevi wakifikiri pombe ndio kitu pekee cha ku socialize kwenye dunia.
Nafuu unisaidie kushangaa,
Wabongo ni washamba sana

Starehe za Wabongo ni Pombe na Ngono TU🤣 na kama si Mlevi wanakuona mshamba

Ukiwaambia starehe zako ni Hiking au Swimming wanakushangaa🤣
 
Back
Top Bottom