Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Tuanze na myths na misconception ambazo zimefanya extroverts mabunda kujifanya introverts.Nimeweka links kwenye hiyo comment uliyoni-quote zipitie.
Hii ni worldwide trend. Hata nje vijana wanaochipukia nao wanavaa hizi labels like its a badge of honor. Bongo napo ndo Hawa kila siku wanakuja humu na nyuzi na kujiita stupid labels ili waonekane special.
Dunia ya Leo huwezi kuta mtu hata mmoja anasema yeye ni extrovert, anapenda watu, anapenda kujichanganya, anapenda kuwa life of the party, anapenda to cheer up others. Ili uwe mjanja inabidi useme hupendi watu, hupendi kusocialize nk. Si hapa jf wala huko nje.
Mood swings is what makes humans humans. Huwezi kuwa mtu yule yule mazingira tofauti. It's called being a human.
Subiri next week mwingine akisikia tena neno introvert ataanzisha tena uzi.
1. Introverts hawapendi watu; Kupenda au kutokupenda watu hakuhusiani na mtu kuwa extrovert au introvert. Introverts wanaonekna hawapendi watu kwa sababu hawawezi(hawana energy ya) kuwachangamkia watu kwa bashasha na mbwembe kama extroverts kwa hiyo misconception imejengeka kwa wajinga wengi kwamba introverts ni watu "aloof'.
2. Introverts hawapendi ku socialize; Hii pia ni misconception, Introverts wanapenda ku socialize ila sio kama extroverts, wakati extroverts wao wanapenda na wanaweza kushinda clubs na kwenye parties wakipiga kelele , wakicheza, wakibishana na kufanya drama introvert yeye anataka akienda clubs asikilize muziki tu, anywe, aongee kidogo na watu wachache mazungumzo mafupi ya maana arudi nyumbani, kwa watu wengi wa party wajinga wajinga mtu wa aina hii anaonekana kuharibu/kukata "vibe" kwa hiyo introverts wengi wanaamua kujiepusha kabisa na events za aina hiyo na wanahesabika hawapendi ku socialize.