Ambao hamnywi bia na ni wakimya, wenye aibu au introverts, huwa mnasocialize vipi ?

Autism ndio kubwa zaidi na kwa bahati mbaya wengi wanayo lakini hawajapima, Autism unamkuta mtu ni mzito kusocialize, mkimya kwasababu uwezo mdogo sana n.k. lakini pia huwa wapo vizuri kufanya vitu vinavyohitaji attention kubwa.

Kufanya presentation sio socialization hio ni academic task unayojiandaa mapema kabisa kujua unachoenda kukifanya,

Introvert ni kama Obama, ni mcheshi, muongeaji lakini yeye anafurahi zaidi akiwa peke yake
Sio kweli, autism ni very rare. Muwe mnafanya utafiti basi kabla ya kuandika haya madai yenu
Autism ina affect 1% to 3% of the population worldwide na introversion ipo kwa 25% hadi 50% ya population
Bongo mna chuki na watu wasiopenda kusocialize ndio maana mko busy kulazimisha waonekane ni wagonjwa au hawako kawaida, au wanajiona sana na hamuishi kuwasema vibaya. Acheni hiyo tabia
Screenshot_2026-01-28-07-31-12-591_com.android.chrome.jpg
 
Wewe endelea kujaza sumu mwilini na kuua figo useme eti wenye aibu. Aliyekuambia wasiokunywa ni wapole nani? Mtafute daktari mnayeheshimiana Sana atakuuma SIKIO kwa Siri kuwa pombe na energy drink zinamaliza taifa
 
Sio kweli, autism ni very rare. Muwe mnafanya utafiti basi kabla ya kuandika haya madai yenu
Autism ina affect 1% to 3% of the population worldwide na introversion ipo kwa 25% hadi 50% ya population
Bongo mna chuki na watu wasiopenda kusocialize ndio maana mko busy kulazimisha waonekane ni wagonjwa au hawako kawaida, au wanajiona sana na hamuishi kuwasema vibaya. Acheni hiyo tabia
View attachment 3535373
Bongo sio kwamba wana chuki na introverts ila ni kwamba raia wengi hawana uelewa wa mambo kama hayo ya introversion, autism, ADHD, Dyslexia n.k Pia utamaduni wa Waafrika wengi kama bongo ni communal zaidi kuliko individualistic culture. Hata huko kwa Wazungu wenyewe haya ni mambo yaliyoanza kueleweka vizuri kuanzia 1960's
 
Introversion s
Everyone and their grandmothers claim to be introverts these days. It's trendy. Ni sifa. Inabidi ujipe a stupid label kuwa cool wanasahau binadamu anabadilika kufuatana na mazingira, mood, etc.

Somehow true..kuna watu ukiwaambia mimi ni mkimya watashangaa na kuna watu ukiwaambia huwa naongea nao watashangaa vilevile

Nadhani tu kuna time energy haziendani na kwa Tanzania kama huongelei sex, gossip na mpira. Kupata marafiki ni shida

Hivyo kwa wenye uelewa zaidi, watu critical na wanaopenda kuhoji vitu ni nadra kupata watu sahihi. Automatically wanakuwa alone sababu small talks haziwafurahishi ila wakipata watu wanaoendana nao. Wanachangamka
 
Bongo sio kwamba wana chuki na introverts ila ni kwamba raia wengi hawana uelewa wa mambo kama hayo ya introversion, autism, ADHD, Dyslexia n.k Pia utamaduni wa Waafrika wengi kama bongo ni communal zaidi kuliko individualistic culture. Hata huko kwa Wazungu wenyewe haya ni mambo yaliyoanza kueleweka vizuri kuanzia 1960's
Watanzania kwa asilimia kubwa tunaishi kijamaa kwa kamini kila mtu lazma aendane nasi Or else tutamuadhibu kisaikolojia. Ikiwemo kumsusia msiba au kumpuuza akipata shida..

Kiufupi tunaona kuishi pekee ni kujiona bora, kujisikia na ubinafsi au la ni mdhaifu. At least kwa wanaoishi ushuani hakuna sana shida hii maana kila mtu anahangaika na geti lake mkuu
 
Sahihi mkuu, nchi hii mtu anayesemwa anaishi vizuri na watu ujue anaishi hayo maisha ya kijamii ya kujichanganya na watu kila mahali na kila tukio la kijamii hata kama ni jambazi, mwizi au mla rushwa. Kama huna pesa na huwezi "kuishi vizuri na watu" bongo maisha yako yatakuwa ya mateso na tension sana.
 
Bongo sio kwamba wana chuki na introverts ila ni kwamba raia wengi hawana uelewa wa mambo kama hayo ya introversion, autism, ADHD, Dyslexia n.k Pia utamaduni wa Waafrika wengi kama bongo ni communal zaidi kuliko individualistic culture. Hata huko kwa Wazungu wenyewe haya ni mambo yaliyoanza kueleweka vizuri kuanzia 1960's
I hope one day they'll understand.
 
Sahihi mkuu, nchi hii mtu anayesemwa anaishi vizuri na watu ujue anaishi hayo maisha ya kijamii ya kujichanganya na watu kila mahali na kila tukio la kijamii hata kama ni jambazi, mwizi au mla rushwa. Kama huna pesa na huwezi "kuishi vizuri na watu" bongo maisha yako yatakuwa ya mateso na tension sana.
Itakuwa jahannum ndogo 👏🏾
 
Bongo sio kwamba wana chuki na introverts ila ni kwamba raia wengi hawana uelewa wa mambo kama hayo ya introversion, autism, ADHD, Dyslexia n.k Pia utamaduni wa Waafrika wengi kama bongo ni communal zaidi kuliko individualistic culture. Hata huko kwa Wazungu wenyewe haya ni mambo yaliyoanza kueleweka vizuri kuanzia 1960's

Siku hizi kila mtu ni introvert sio bongo tu but worldwide. Siku hizi kila mtu lazima ajipe a stupid label to be cool. Show me one person who identifies as an extrovert nikuonyeshe kuku anayekojoa? Hii ni worldwide.

Why more and more people claiming to be introverts nowadays. Is it the new fad? Is being introvert seen as being intellectual now?

Why Everyone And Their Mother Is Now Identifying As An Introvert

Why more and more people claiming to be introverts nowadays. Is it the new fad? Is being introvert seen as being intellectual now?

Claiming oneself to be introvert is seems to be in trend nowadays!

Apparently everyone is introvert these days
 
Sio kweli, autism ni very rare. Muwe mnafanya utafiti basi kabla ya kuandika haya madai yenu
Autism ina affect 1% to 3% of the population worldwide na introversion ipo kwa 25% hadi 50% ya population
Bongo mna chuki na watu wasiopenda kusocialize ndio maana mko busy kulazimisha waonekane ni wagonjwa au hawako kawaida, au wanajiona sana na hamuishi kuwasema vibaya. Acheni hiyo tabia
View attachment 3535373
Nahisi unachanganya kati ya Introvet na Antisocial.... hebu angalia vizuri hao watu kisha ujilabel tena.
 
Sijui kuhusu worldwide kama kweli watu wanapenda kuwa associated na introversion lakini bongo hayo masuala yenyewe ya introverts na extroverts hata hayajulikani na watu wengi hata kati ya wasomi ni wachache sana wanaojua or they care at all.

Worldwide inawezekana ukaona kila mtu anaji label introverts kwa sababu introverts mara nyingi ndio huwa wanachunguza, kufuatilia au kusoma sana kuhusu personality types kujielewa why wako walivyo(extroverts hawajali sana kuhusu kufuatilia wenyewe hizi mbanga) kwa hiyo inawezekana inatokea selection bias.

Jambo lingine introverts are rare and more interesting na ni hulka ya binadamu wengi kupenda kuonekana hiyo. Kipimo sahihi sio tu vile wewe unavyojisikia au kujitambua bali wengine pia wanaokuzunguka wanavyokutambua.
 
Introversion s

Somehow true..kuna watu ukiwaambia mimi ni mkimya watashangaa na kuna watu ukiwaambia huwa naongea nao watashangaa vilevile

Nadhani tu kuna time energy haziendani na kwa Tanzania kama huongelei sex, gossip na mpira. Kupata marafiki ni shida

Hivyo kwa wenye uelewa zaidi, watu critical na wanaopenda kuhoji vitu ni nadra kupata watu sahihi. Automatically wanakuwa alone sababu small talks haziwafurahishi ila wakipata watu wanaoendana nao. Wanachangamka
Hiyo ya kuwaambia watu wewe ni mkimya nayo imekaa hovyo, labda kama unakutana na mtu siku moja tu au mjadala mahusisi umeibuka kuhusu hii topic lakini kama utakaa na mtu wiki au zaidi na yuko interested na anaelewa haya mambo ya personality yeye mwenyewe anaweza kufahamu na wala huhitaji kumuambia.
 
Sijui kuhusu worldwide kama kweli watu wanapenda kuwa associated na introversion lakini bongo hayo masuala yenyewe ya introverts na extroverts hata hayajulikani na watu wengi hata kati ya wasomi ni wachache sana wanaojua or they care at all.

Worldwide inawezekana ukaona kila mtu anaji label introverts kwa sababu introverts mara nyingi ndio huwa wanachunguza, kufuatilia au kusoma sana kuhusu personality types kujielewa why wako walivyo(extroverts hawajali sana kuhusu kufuatilia wenyewe hizi mbanga) kwa hiyo inawezekana inatokea selection bias.

Jambo lingine introverts are rare and more interesting na ni hulka ya binadamu wengi kupenda kuonekana hiyo. Kipimo sahihi sio tu vile wewe unavyojisikia au kujitambua bali wengine pia wanaokuzunguka wanavyokutambua.

Nimeweka links kwenye hiyo comment uliyoni-quote zipitie.

Hii ni worldwide trend. Hata nje vijana wanaochipukia nao wanavaa hizi labels like its a badge of honor. Bongo napo ndo Hawa kila siku wanakuja humu na nyuzi na kujiita stupid labels ili waonekane special.

Dunia ya Leo huwezi kuta mtu hata mmoja anasema yeye ni extrovert, anapenda watu, anapenda kujichanganya, anapenda kuwa life of the party, anapenda to cheer up others. Ili uwe mjanja inabidi useme hupendi watu, hupendi kusocialize nk. Si hapa jf wala huko nje.

Mood swings is what makes humans humans. Huwezi kuwa mtu yule yule mazingira tofauti. It's called being a human.

Subiri next week mwingine akisikia tena neno introvert ataanzisha tena uzi.
 
Nimeweka links kwenye hiyo comment uliyoni-quote zipitie.

Hii ni worldwide trend. Hata nje vijana wanaochipukia nao wanavaa hizi labels like its a badge of honor. Bongo napo ndo Hawa kila siku wanakuja humu na nyuzi na kujiita stupid labels ili waonekane special.
Hapa ndio sielewi. What's wrong with people giving themselves labels ili wajione special. What's wrong with this and why does it bother you
Watu wanajipa label toka enzi na enzi, huwezi kuzuia hilo. Nyinyi mlitaka muwaseme vibaya introverts halafu waendelee kujisikia vibaya kila siku kwa malalamiko yenu, dunia nzima ilishafanya introverts kuwa kundi weak la kuwasema vibaya na kulazimisha wajione sio binadamu wa kawaida. Mlitegemea nini, waanze kujinyenyekeza kwenu ili wawe kama nyinyi?
Kama wameshapata njia ya kufanya wajione cool then it's a good thing. Isn't it?
 
Back
Top Bottom