Tuanze na myths na misconception ambazo zimefanya extroverts mabunda kujifanya introverts.Nimeweka links kwenye hiyo comment uliyoni-quote zipitie.
Hii ni worldwide trend. Hata nje vijana wanaochipukia nao wanavaa hizi labels like its a badge of honor. Bongo napo ndo Hawa kila siku wanakuja humu na nyuzi na kujiita stupid labels ili waonekane special.
Dunia ya Leo huwezi kuta mtu hata mmoja anasema yeye ni extrovert, anapenda watu, anapenda kujichanganya, anapenda kuwa life of the party, anapenda to cheer up others. Ili uwe mjanja inabidi useme hupendi watu, hupendi kusocialize nk. Si hapa jf wala huko nje.
Mood swings is what makes humans humans. Huwezi kuwa mtu yule yule mazingira tofauti. It's called being a human.
Subiri next week mwingine akisikia tena neno introvert ataanzisha tena uzi.
Kuna tofauti kati ya mood swings na personality types.Mood swings is what makes humans humans. Huwezi kuwa mtu yule yule mazingira tofauti. It's called being a human.
Subiri next week mwingine akisikia tena neno introvert ataanzisha tena uzi.
Kama unaelewa basi utarekebisha kua introvert sio kama hapendi/hawezi kusocialize, they do socialize ila hua wanajiona fit and safe wakiwa kwenye small circle, introvert ana enjoy deep meaningful convos akiwa na watu wake wachache alowachagua, anakua mcheshi na mwenye vituko pia, hata mfano wako wa presentation ya chuo yes introvert anaweza kusimama popote na kuongea chochote,Sichanganyi terminology, naelewa vizuri sana maana zake
Sawa Dr Mariposa nitatafuta msaada wa kisaikolojia. Huenda upo sahihi nina mental problemKama unaelewa basi utarekebisha kua introvert sio kama hapendi/hawezi kusocialize, they do socialize ila hua wanajiona fit and safe wakiwa kwenye small circle, introvert ana enjoy deep meaningful convos akiwa na watu wake wachache alowachagua, anakua mcheshi na mwenye vituko pia, hata mfano wako wa presentation ya chuo yes introvert anaweza kusimama popote na kuongea chochote,
Tukija kwenye antisocial ndio huyo asiyependa kusocialize yaani yeye HATAKI kua karibu na jamii, na kwa bahati mbaya Antisocial ni muhanga wa Mental health,
Kwa hiyo narudi kwako, ukiwa unajielezea wewe ni introvert kua makini sana usichanganye na antisocial, na kama kweli hupendi kujichanganya at all na jamii unapenda kujitenga and stuff, tafuta msaada wa kisaikolojia, mental health is real.
π Uzi usindikizwe na wimbo waHunywi Bia,
Una aibu,
Introvert,
Mkimya.
Na sio kusema kwamba unywe kila siku ila angalau mara moja kwa wiki siku kama Friday unaenda kupata kinywaji, aibu inakutoka, unakuwa mwepesi ku ocialize, kuconect na watu, n.k.
Hapa ndio sielewi. What's wrong with people giving themselves labels ili wajione special. What's wrong with this and why does it bother you
Watu wanajipa label toka enzi na enzi, huwezi kuzuia hilo. Nyinyi mlitaka muwaseme vibaya introverts halafu waendelee kujisikia vibaya kila siku kwa malalamiko yenu, dunia nzima ilishafanya introverts kuwa kundi weak la kuwasema vibaya na kulazimisha wajione sio binadamu wa kawaida. Mlitegemea nini, waanze kujinyenyekeza kwenu ili wawe kama nyinyi?
Kama wameshapata njia ya kufanya wajione cool then it's a good thing. Isn't it?
Kuna tofauti kati ya mood swings na personality types.
Mood swing ni temporary, your personality is permanent.
Kwa undani zaidi soma Psychological Types by Carl Jung.
Ningekuambia usome, Quiet: The Power of Introverts in a World That Can't Stop Talking-by Susan Cain lakini inaonekana una bifu binafsi na introvertsπ
The wanna beβs ππNimeweka links kwenye hiyo comment uliyoni-quote zipitie.
Hii ni worldwide trend. Hata nje vijana wanaochipukia nao wanavaa hizi labels like its a badge of honor. Bongo napo ndo Hawa kila siku wanakuja humu na nyuzi na kujiita stupid labels ili waonekane special.
Dunia ya Leo huwezi kuta mtu hata mmoja anasema yeye ni extrovert, anapenda watu, anapenda kujichanganya, anapenda kuwa life of the party, anapenda to cheer up others. Ili uwe mjanja inabidi useme hupendi watu, hupendi kusocialize nk. Si hapa jf wala huko nje.
Mood swings is what makes humans humans. Huwezi kuwa mtu yule yule mazingira tofauti. It's called being a human.
Subiri next week mwingine akisikia tena neno introvert ataanzisha tena uzi.
Extrovert mimi hapa bwashee , kuku anayekojoa namsubiria nipo paleπ nakunywa bia.That went over your head. I'm not surprised.
Dunia ya leo kila mtu ni introvert sio wewe tu. It's a badge of honor more or less.
Hata mimi ni introvert, wewe na kila mtu worldwide. Nionyeshe extrovert mmoja tu nikuonyeshe kuku anayekojoa.
The wanna beβs ππ
Extrovert mimi hapa bwashee , kuku anayekojoa namsubiria nipo paleπ nakunywa bia.
Hahahaha nimemwona π πWewe bado mshamba π
Ujanja ni kuwa introvert na kusema hupendi watu wala socializing even if you do. Everyone and their grandma is an introvert these days.
Kuku anayekojoa huyu hapa:
View attachment 3536073
Cha kushangaza sana hata mtu akiacha bia ataendelea kuchangamana tu , akili ina tabia ya kujifunza kutokana na uzoefu, watu wa bia asilimia kubwa wana huo uwezoKama mtu huwezi kusocialize mpaka unywe bia,unakua na tofauti gani na Gari linalowaka kwa kusukumwa?
Halafu Bia ikiisha kichwani unarudi kwenye uhalisia wako tena?
Unawashauri nini watu wanaojiita introverts. Do you have a better advise that will make their lives better?That went over your head. I'm not surprised.
Dunia ya leo kila mtu ni introvert sio wewe tu. It's a badge of honor more or less.
Hata mimi ni introvert, wewe na kila mtu worldwide. Nionyeshe extrovert mmoja tu nikuonyeshe kuku anayekojoa.
Kwa hiyo mtu kujiita extrovert ni sawa, ila kujiita introvert ndio shida, au mimi ndo sielewi π€Wewe bado mshamba π
Ujanja ni kuwa introvert na kusema hupendi watu wala socializing even if you do. Everyone and their grandma is an introvert these days.
Kuku anayekojoa huyu hapa:
View attachment 3536073
What about dying while taking bath and people find your corpse naked πI socialise to pamper people.
I think most people (you extroverts) just can't sit with themselves and absolutely require external validation to feel any sense of self worth, and take it personally when people keep to themselves.
For the first time in my 30yrs of life, I live alone. Do you know the worst part? When my family calls me to ask if I'm lonely! ARE YOU KIDDING ME! This is the best time of my life! ! Kila siku wansema we subiri tu ukizoea. Me nasubiri wao wazoee waache kunipigia simu kila siku.
Unfortunately I got a new fear unlocked: dying inside and the neighbours finding out after a few days
Hunywi Bia,