Ambao hamnywi bia na ni wakimya, wenye aibu au introverts, huwa mnasocialize vipi ?

Unawashauri nini watu wanaojiita introverts. Do you have a better advise that will make their lives better?
Kwani kua introvert ndio kua na life ya hovyo? Na kutokua introvert ndio kua na better life?

Better life ni kuishi upendavyo wewe na sio wapendavyo wengine,

Love the life you live
Live the life you love.
 
Kwani kua introvert ndio kua na life ya hovyo? Na kutokua introvert ndio kua na better life?

Better life ni kuishi upendavyo wewe na sio wapendavyo wengine,

Love the life you live
Live the life you love.
Nimemuuliza kwa sababu hapendi kuona watu wanajiita introverts na kumbuka kama watu kujipa hiyo label kunawafanya wafurahie maisha yao, basi ni vizuri kuwa wanafanya hivyo
Lakini Bufa inaonekana hapendi kwa hiyo namuuliza anashauri nini watu wanaojiita introverts
 
Hana cha kuwashauri wala hana mamlka ya kuwaambia watu waishi kama anavyotaka yeye na sio kama wanavyotaka wao,kila mtu anaishi maisha aliyoyachagua,

Ukiona mtu anakereka na lifestyle ya mtu mwingine,basi tambua kua mwenye tatizo ni huyo mtu na sio wao.
 
Knowledge ndio tatizo , sehemu kubwa ya JAMII yetu Ina lack of intelligence people
 
Mbona hapa tunae Extrovert and he's so proud kuwa extrovert!?
 
😁😁😁 Ww3 at is own level
 
Sure indeed
 
Knowledge ndio tatizo , sehemu kubwa ya JAMII yetu Ina lack of intelligence people
Hii ni kweli mkuu. Imagine mtu anaumia kuona mwenzake ni introvert, we have a long way to go as a community
 
This is the best comment ever. Do what feels right to you as long as it's your life you're living
 
Mimi ni mzungumzaji Ila naona nakera au kusumbua watu hivyo nilijipa kuwa mkimya kwa miaka kadhaa sasa,

Sehemu kama uwanja wa taifa, matamasha makubwa yenye watu wengi siwezi kuhudhuria sipendelei naona jau

Mimi sio introvert

Introvert yupo nyuma ambaye ni secretarybird mbamizwa ndege, na Poor Brain mbamizwa kobaa wa kusini mwa Africa
 
Huwa nashangaa sana ninpowaona walevi wakifikiri pombe ndio kitu pekee cha ku socialize kwenye dunia.
Nafuu unisaidie kushangaa,
Wabongo ni washamba sana

Starehe za Wabongo ni Pombe na Ngono TU🤣 na kama si Mlevi wanakuona mshamba

Ukiwaambia starehe zako ni Hiking au Swimming wanakushangaa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…