Ambao hamnywi bia na ni wakimya, wenye aibu au introverts, huwa mnasocialize vipi ?

Yaani🙌🙌🙌
 
Mi huwa nanyetuka kisha narusha mikono juu, yaani ni mwendo wa kubanjuka tu.
 
Hunywi Bia,
Una aibu,
Introvert,
Mkimya.

Na sio kusema kwamba unywe kila siku ila angalau mara moja kwa wiki siku kama Friday unaenda kupata kinywaji, aibu inakutoka, unakuwa mwepesi ku ocialize, kuconect na watu, n.k.
We smoke weed we read books
 
Huwa nashangaa sana ninpowaona walevi wakifikiri pombe ndio kitu pekee cha ku socialize kwenye dunia.
Inashangaza sana, nna ndugu yangu ananipiga vita sana kisa situmii anachotumia, tukikutana huwa ananiagizia kreti ya soda na maji katoni nzima na maneno juu nianze kuita nyuki na maji yakiisha nisijali ntatumia hata ya washroom 😂
 
We jamaa hayo majina yako hayo
 
Hunywi Bia,
Una aibu,
Introvert,
Mkimya.

Na sio kusema kwamba unywe kila siku ila angalau mara moja kwa wiki siku kama Friday unaenda kupata kinywaji, aibu inakutoka, unakuwa mwepesi ku ocialize, kuconect na watu, n.k.
Espresso daily
Your browser is not able to display this video.
 
Huwa nashangaa sana ninpowaona walevi wakifikiri pombe ndio kitu pekee cha ku socialize kwenye dunia.
walevi unajua ni vichaa aisee

eti hunywi pombe,huvuti sigara,huna starehe yeyote utakua malaya yaani as if they know anything about you

being alone in our houses is the best thing to us

internet,sports,TV,driving,swimming,chatting,etc is our best thing to us

we feel powerful when we are alone consuming our independence

baa hunikuti,mikutano ya watu hunikuti,mbele za watu hunikuti,damn,even photos sitaki kabisa...all these nonsenses drain all my energies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…