Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kumbe ulikuwaga skeleton before?๐๐๐๐ ๐ ๐
Skeleton Kwa maana ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulikuwaga skeleton before?๐๐๐๐ ๐ ๐
ulikabidhiwa mwili na wazazi wako, kabla hawajakukabidhi mwili ulikua unatumia niniSkeleton Kwa maana ipi?
Totoo na chale vina tofauti Gani?Tofauti yake yeye sio mshirikina
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya mbona mtoto tu, kuna Fazageti huwa anafundisha uchawi live.Lakini kwenye rada za akina Kisendi Nyanda Ntalima unasomeka ๐
Ndui sio mchoro, ndui ni kovuWala alama ya chanjo ya ndui...
fucken..
Kweli kabisa. Biashara madhabahuni"... kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model)."
Na imekuwa biashara kubwa isiyotozwa kodi!
Sawa bakuli la heshimaMimi hapaaaaaa! Bujibuji! I Gin Ja Wa
Najua umeelewa code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana mkuu, kongole kwa wazazi/walezi wetuMoja ya mambo ambayo ninawashukuru wazazi na walezi wangu ni pamoja na hili la kuulinda mwili wangu na kunikabidhi ukiwa hauna Alama za chale. Naendeleza walipoishia.
Sawa kibaba kimoja cha ngano na vibaba vitatu vya shayiri.[emoji23]Sawa bakuli la heshima
Safi sana mkuu, kongole kwa wazazi/walezi wetu
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hatoiacha hata atakapokwa mzeeNi kweli Kabisa.
Na huu ni uthibitisho kuwa mtoto anaweza kukua pasipo mwili wake kupelekwa vilingeni
Waliokuwa wanachanjwa walikuwa wanatiwa unga wa mkaa wa dry cell za National Panasonic na PhilipsSwalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).
Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.
Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.
Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.
Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Ndo hivyo mkuuPole sana mkuu ndio walimwengu walivyo hawana jema, ukifanya vizuri n kosa na ukifanya vibaya ni kosa zaidi. Ukiishi maisha Yako Kuna watu wanaumia Sana.
Hina inapakwa nakufutika, haina maumivu wala haiachi athari katika mwili tofauti na tattooTotoo na chale vina tofauti Gani?
Tattoo zote ni uchawi bila kusahau Hina wapakayo women ktk miili Yao, ndomana majanga hayawaishi.
Usijitetee, Mungu hapendi.Hina inapakwa nakufutika, haina maumivu wala haiachi athari katika mwili tofauti na tattoo
Mchawi kama kukuganga au kukuroga,uchawi unaaminiwa na mtu aliyetokea familia lozilozi,kama wewe wanao lazima wawe vigagula maana unamwambia mtu anaejijua mwenyewe kuwa"ACHA KUTUDANGANYA",inaonekana imani yako ni haba kwa muumba.Acha kutudanganya, hebu angalia hapo kichwani karibu na utosi uone kama hamna chale tatu.
Mengine yalifanywa na wazazi wetu pasi kujua.
Mengine yamefanywa na wachawi tukiwa tumelala.
Sina chale wala kitu kinachoitwa kinga sijui ya kiroho lakini naamini ulinzi nliokua nao umeniweka salama mpaka Leo maana nakumbuka miaka mitatu nyuma Luna sehemu nlienda kwenye sherehe nlipigwa kombora ambalo kwa akili zangu za pombepombe nlibeba hicho kitu nkaenda nacho nyumbani nkakichambua vizuri kwenye mwanga nkaona ni majani tu mabichi yamechanganjwa na uchafu unapatikana kwenye utumbo mpana sijui wa kiumbe gani nkaweka kando nkalala asubuhi nkafagia kwa sala na kuendelea na maisha Ila ingenikuta wenyewe walinambia ilikua naenda kupooza kabisaaaaaaaaaSwalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).
Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.
Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.
Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.
Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Pole sana na hongera sanaSina chale wala kitu kinachoitwa kinga sijui ya kiroho lakini naamini ulinzi nliokua nao umeniweka salama mpaka Leo maana nakumbuka miaka mitatu nyuma Luna sehemu nlienda kwenye sherehe nlipigwa kombora ambalo kwa akili zangu za pombepombe nlibeba hicho kitu nkaenda nacho nyumbani nkakichambua vizuri kwenye mwanga nkaona ni majani tu mabichi yamechanganjwa na uchafu unapatikana kwenye utumbo mpana sijui wa kiumbe gani nkaweka kando nkalala asubuhi nkafagia kwa sala na kuendelea na maisha Ila ingenikuta wenyewe walinambia ilikua naenda kupooza kabisaaaaaaaaa