Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

Hiyo sio sifa ya mwanaume hizo ni sifa za kina dada

Haya tunataka wewe usie jiendekeza utafika wapi bwana
Nafika ninapotaka kufika na wewe unafika unaptaka kufika, kila mmoja ashinde mechi zake,
Kwanini uone wengine washamba? Shuuwainiii
 
Madem sasa
 
We are on the same page
 

Mimi huyu [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…