Usipende ku assume mkuu,Fikra hizi zinasababishwa aidha kwa kutokujiamini au ugumu wa maisha au vyote kwa viwili kwa pamoja.
Hakuna aliyeoaWameoa nw?!
Nimeoa sababu siitaji papuchi 1000 ili nafsi yangu ifurahi, wala haikua namahusiano yoyote napesa. Kuogopa kuoa nihofu zakitotoUnaoa kisa una pesa?
Hakuna aliyeoa
Sna uhakikaBasi ujue tabia zenu zinafanana
sawa mwanangu...umeamua kunitusi mimi baba yako!Nalelewa na pesa mkuu, acha ujinga