Ambao Hatuna Mpango wa Kuoa Tukutane hapa

Ambao Hatuna Mpango wa Kuoa Tukutane hapa

Wanawake wa siku hizi ni pasua kichwa tu hapa ni mwendo kuwazalisha tu na kulea watoto wetu,
 
Fikra hizi zinasababishwa aidha kwa kutokujiamini au ugumu wa maisha au vyote kwa viwili kwa pamoja.
Usipende ku assume mkuu,
Usiishi kwa mazoea.

Nikuweke tu wazi kwamba, kwa mwezi nina net income ya 7M, na ni mwaka jana tu nimemaliza chuo.

Nipo na wakikuyu napiga pesa kama kenya
 
duu ila kuoa kunahitaji moyo, maana siku izi pande zote hazieleweki kidogo tu msha achana

mie kama ntafikisha miaka 50 ndio ntaoa tena mmama mjane (aliye na watoto) nami ntakuwa na wangu tumalizie uzee tu.

kuoa ni kero flani hivi
 
maisha ni kuchagua,hingera kwa uchaguzi wako! nashangaa watu wanakulaumu humu hawawaoni mapadri
 
Family is a beautiful thing...

But it is not necessary nor is it guaranteed to be beautiful.

Live and let live.

Good luck Permanent Bachelor
 
Back
Top Bottom