Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

Hizo sifa zote ulizotoa ndivyo ulivyo wewe...Maana JPM ni kipimo cha uzalendo kwa karne yetu hii...Kama una bisha pitia comments za wa Africa wenzako mitandaoni na hata baadhi ya wazungu wale wenye moyo safi
Magufuli alikuwa shetani, period!
 
Katika vitu ambavyo sikuvipenda kwa baba wa Taifa ni pamoja na hilo...Kutokujipends kuna sababisha kujikinai na ndiyo maana watanzania hatujipendi tinapenda vya watu zaidi...

Hii ilikiwa weakness yake kubwa...Lakini hii ilitokana na imani yake ya kikristo enzi hizo ambapo ilionekana siyo vizuri kuwa na vingi wakati wengine hawana....

On the other hand JPM aliweza ku balance, aliwapenda wa kwao na akawapenda na wengine...Ni pamoja na kuchukia wale wote ambao walikuwa kinyume na watanzania walio wengi...Kupenda ni pamoja na kuchukia uovu....

JPM ni edited version ya JKN...Hawa wawili historia itawakumnuka...Just give it time...Hata Nyerere miaka hiyo alipewa majina ya ajabu na alichukiwa sana jinsi hii hii tunavyo taka kum brand Hayati JPM; historia ni somo zuri sana...Tutaona huu mwangwi wa ndugu zetu wachache wabinafsi utadumu mpaka lini kuhusiana na JPM....

JPM is a hero the same is JKN utake au usitake, thats it!
Unapoandika "Utake usitake" unakumbusha aliyekuwa mbunge wa Nkasi Ally Kessy, naye alikuwa akidemka bungeni ati Magufuli atake asitake ni lazima tumuongezee muda wa kutawala.

Sasa angalia Mungu alivyo fundi kabla ya muda Magufuli ametwaliwa na sasa yupo kuzimu anasubili hukumu yake, na Ally Kessy katika Tanzania nzima kura zimeibwa kote lakini Nkasi Ally Kessy akatoswa yeye na Hawa Ghasia.

Pamoja na kujipendekeza kote kwa mungu wa Chato lakini mwenzanke akamchinjia baharini, kumbuka mwaka 2020 hapakuwa na uchaguzi, ni dikteta mmoja alitowa maagizo na nchi nzima watumishi wakatii maagizo, sasa tuna bunge la kijani.
 
nakuambia Ndio maana nyerere

Alijaza JESHI WAKURY NA WAZANAKI NA WAJITA HALAFU JIULIZE KWANINI WALIMU WENGI NA WANASHERI WALIKUWA WATU WA MARA

HAKUNA MTU ULIZA KANDA YA ZIWA UTAELEWA WATUMISHI WENGI WALIKUWA WANATOKEA MARA KIPINDI CHA NYERERE

HIVYI TUSIANZE KUMHUKUMU

MAGU JEMBE
Wewe ni mpumbavu usiyejuwa chochote, watu wa Mara wanazaliwa wakiwa wanajeshi kamili, kule kwenye kambi za jeshi wanakwenda kusajiliwa tu.

Kila kabila lina asili yake na sifa zake, wachaga wengi madaktari na wafanyabiashara, Wahaya wengi wamekwenda shule na wanasheria ni wengi, Wakinga ni biashara, wasambaa deiwaka, wagogo kuombaomba na kuuza kahawa. Orodha ni ndefu ila elewa hivyo.
 
Magufuli alikuwa shetani, period!
Wewe ukiwa malaika ni kweli lakini wewe ukiwa shetani yeye ni opposite yake...He has a different spirit from yours.....Ufisadi haulipi just a while tutafika tu!
 
Unapoandika "Utake usitake" unakumbusha aliyekuwa mbunge wa Nkasi Ally Kessy, naye alikuwa akidemka bungeni ati Magufuli atake asitake ni lazima tumuongezee muda wa kutawala.

Sasa angalia Mungu alivyo fundi kabla ya muda Magufuli ametwaliwa na sasa yupo kuzimu anasubili hukumu yake, na Ally Kessy katika Tanzania nzima kura zimeibwa kote lakini Nkasi Ally Kessy akatoswa yeye na Hawa Ghasia.

Pamoja na kujipendekeza kote kwa mungu wa Chato lakini mwenzanke akamchinjia baharini, kumbuka mwaka 2020 hapakuwa na uchaguzi, ni dikteta mmoja alitowa maagizo na nchi nzima watumishi wakatii maagizo, sasa tuna bunge la kijani.
Bahati mbaya sana Mungu hachukui asiyewapenda, huwachukua anaowapenda kuwaepusha na waovu wa hii dunia....Wewe uliko baki humu na yeye aliyelala nani yupo salama? Au hujui msemo wa hujafa hujaumbika? Kabla ya kuchukiliwa utadhihirisha kwa maneno na matendo yako wewe kwamba unachukiwa na Mungu sana...Kama unabisha nipe ID yako ya kweli tufuatiliane baada ya 10 years turudi hapa kushuhudia....

Ukweli hauwezi kufa....Unaishi milele!
 
Wewe ni mpumbavu usiyejuwa chochote, watu wa Mara wanazaliwa wakiwa wanajeshi kamili, kule kwenye kambi za jeshi wanakwenda kusajiliwa tu.

Kila kabila lina asili yake na sifa zake, wachaga wengi madaktari na wafanyabiashara, Wahaya wengi wamekwenda shule na wanasheria ni wengi, Wakinga ni biashara, wasambaa deiwaka, wagogo kuombaomba na kuuza kahawa. Orodha ni ndefu ila elewa hivyo.

Wewe akili huna ALIKUWAMBIA NANI ALIZALIWA JASIRI

HIYO TABIA INATENGENEZWA UNATAKA KUNIAMBI NCHI AMBAZO HAZINA WAKURYA WANAJESHI WANATOKA WAPI

MBONA SIKU HIZI JESHI LIMEBALANCE VIZURI HALINA UKABILA HATA KIDOGO

KUWA MUELEWA NADHANI HUNA EXPOSURE YEYOTE NDIO MAANA UNATETEA HICHO HUO NYERERE ALIFANYA UKABILA ILI WAMULINDE ALIYEONGOZA MAPIGANO NA KUMFUKAZA ID AMINI DADA UNAMFAHAMU

YULE JAMAA HAKUWA MKURYA ILIBIDI APEWE UBAROZI

FUATILIA UONE UNAJESHI UNATENGENEZWA SIO HASIRA
 
Uzushi gani wakati maiti zilikuwa zinaokotwa ufukweni, lissu anapigwa risasi mchana kweupe na hakuna aliyekamatwa, wakosoaji wanapotezea na kutekwa nk. Mimi ka mkristo mkatoliki ninaamini kuwa kama huna upendo, umejaa chuki na visasi hakuna jema unaloweza kuhesabiwa
Lisu alikuwa muasi ALIKUWA ANATUMIWA NA MABEBERU
ALIDILIKI KUSHIRIKI KUSAIDIA NDEGE YETU IKAMATWE NA WAZUNGU

ALISEMA WAZUNGU TUKIWAVUNJA MIKATABA TUTAFUNGWA TUTAWALIPA ALIHONGWA ILI ALITOPOTEZE TAIFA

MIMI SIKUONA KUWA MAWAZO YAKE YALIKUWA SAHIHI KUSAIDIA WAZUNGU ILI KUTUNYANYASA NDIO MAANA ALIKIMBILIA KULE
 
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
Mwalimu hakuwa fisadi wa madaraka na mali.
Mwalimu hakujijengea kwao hata barabara
Mwalimu hakujijengea uwanja wa ndege, mpaka anakfariki, Musoma uwanja wa ndege ni wa vumbi.
Mwalimu hakujenga majengo makubwa makubwa kwa kutumia hela ya umma kwao Butiama
Mwalimu hakumchagua mpwa wake kuwa Paymaster General ili wapate kuiba 1.5trillion
Mwalimu hakuwa na ukabila
Mwalimu alikuwa mwalimu, anafundisha si kushurutisha kidikteta
Mwalimu alijenga hoja zenye mantiki ndani na nje ya chama
Mwalimu alikuwa mwana demokrasia ndani ya chama, n ukiwa na hoja inasikilizwa na kuchambuliwa

Hata Rais winyi alisema Mwalimu alikuwa a intergrity and standing kama lima Kilimanjaro, wengine wote vichuguu tu.
Sisis tumekua wakati wa Mwalimu, tunashuhudia hilo.
 
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
Awali ya yote huwezi kulinganisha kichaa na mtu timamu.

Ivyo walitofautiana saaana,Nyerere alikuwa ni binadamu na Magufuli alikuwa ni shetani.

The ugly/beast and the beautiful are different.

ACHA KUMDHALILISHA NYERERE !!
 
Nyeree alimuita Malechela mhuni aliporuhusu Bunge kujadiliwa Serikali tatu.Hakuogopa mtu.
Alimwambia Mwinyi CCM ilikuwa inanuka rushwa.Mtu akisema hayo kwa Hangaya ataitwa kwenye vikao vya maonyo mpaka atatamani kuhamia Namibia.
 
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
2×2 toa 4=Sifuri. Jitihada za kujaza maji kwenye pipa ambalo liko wazi pande zote.
 
Acha uongo,Nyerere elimu ilikuwa bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu!Hata JPM ni mnufaika wa elimu bure ya mwalimu Nyerere!
Nyerere aliwaunganisha watanzania wote,ila huyo uliyemtaja alifanya kazi kubwa kubomoa umoja wa kitaifa!
Nyerere alichukia sana ukabila,huyo uliyemtaja aliichukia sana kanda fulani!

NB:Usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu!
Nyinyi wezi wa mali za umma ndio mlikuwa hammpendi JPM kwa kuwa aliwanyoosha kweli kweli na bado mnaendelea kunyooshwa tena na Mama Samia nafikiri unajua Gaidi Mbowe aliko kwa sasa akiendelea kunyea debe.
 
Awali ya yote huwezi kulinganisha kichaa na mtu timamu.

Ivyo walitofautiana saaana,Nyerere alikuwa ni binadamu na Magufuli alikuwa ni shetani.

The ugly/beast and the beautiful are different.

ACHA KUMDHALILISHA NYERERE !!
CHADEMA wakiona jina la Jiwe tumbo la kuhara linawashika wanakimbilia kupambana na Uzi.
Na aliwaweza kutoka kuwa na wabunge lukuki mpaka mmoja🤣🤣🤣
 
Na mama anawanyoosha tena sijui sasa watakkmbilia wapi kila waendako ni nchale tuuuu!!
 
Yaliyopita sii ndwele, mbele yake nyuma yetu...
 
Mwalimu Nyerere na Hayati Magufuli walifanana kwa mambo machache, yafuatayo:-

1. Wote walikuwa madikteta, wabinafsi na wenye kiburi cha madaraka.

2. Wote wawili walikuwa wanapenda kusifiwa, na hawakuruhusu watu wenye mawazo mbadala - waliwafanya maadui na hata kuwapoteza kwa kutumia "wasiojulikana".

3. Wote walitumia vibaya udhaifu wa katiba iliyopo.

4. Wote wawili hawakutaka siasa za ushindani za vyama vingi, na chaguzi zote zilizofanyika chini yao zilikuwa kiini macho tu.

5. Wote wawili, walitumia sera mfu na za kishetani ziitwazo ujamaa - kuiba, kupora mali za watu na kuharibu uchumi wa nchi na wananchi. Walifanya miradi mfu ambayo haina tija wala uwekezaji wao si wa maendeleo mapana na ya muda mrefu kwa nchi. Walikuwa very weak kwenye uchumi, Nyerere aliwahi kukiri kwenye Afircan Forum 1995. Alisema yeye hakujua uchumi na kazi yake ilikuwa kuleta uhuru na kuzikomboa nchi za Kusini mwa Afrika.

6. Katika tawala zao, wote wawili, wimbi la kupotezwa watu, ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, chama (CCM) kushika hatamu, usiginishaji wa katiba (ingawa ni mbovu na dhaifu), RTD/TBC kuwa ndio chombo kikuu cha habari, kuminywa uhuru wa kutoa maoni nk vilishamiri kuliko kwa wenzao wa awamu nyingine.

7. Wote wawili walitoka Kanda ya Ziwa. Na pia imani zao ni sawa.

8. Tawala na Serikali zao zilijaa propaganda, na nguvu kubwa ya dola kutumika kuaminisha umma kuwa wao ni viongozi wazuri. Lakini walipoondoka tu madarakani, ukweli uliiojitokeza ni tofauti na propganda zao. Tena warithi wao waliondoka kwenye matendo yao mapema tu, ila tayari uharibifu waliofanya ni mkubwa na wao pia wakashindwa. Mzee Mwinyi alishindwa, Rais Samia naye atashindwa kurekebisha makosa na madhara ya watangulizi wao hao. Mwisho wa siku mwananchi wa kawaida ataendelea kuwa mhanga wa tawala zote.

9. Wote wawili, walitengeneza kundi na tabaka la "wanyonge" kama mtaji wao wa kisiasa na maslahi tu. Kwa mfano, Mwl. Nyerere akijua ubovu wa Katiba na huku akiwa na uwezo na ushawishi wa kuirekebisha aliiacha kwa sababu ilimpa nguvu na pia baadaye (rejea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995) uliisaidia CCM, hasa Zanzibar na Mwl. alishiriki kikamilifu kwenye kampeni na baadaye ile michezo michafu.
Hayati Magufuli naye, akijinadi kuwa mtetezi wa wanyonge alishindwa vipi kujenga mfumo na taasisi imara za kuwasaidia hao wanyonge? Iweje miezi michache tu baada ya kwenda zake, kila kitu kibumburuke (ambacho alijisifia kukifanya)?

10. Haki huinua Taifa. Bila misingi ya haki hakuna amani wala maendeleo ni propganda tu na umaskini kuzidi. Nyerere na Magufuli ni watu waliodidimiza na hata kuzima utambi ambao ulitaka kuleta nuru ya haki kwa nchi yetu.

11. Elimu bure = elimu mbovu. Walibadili na kuondoa neno BORA na kuweka Bure. Sote tunajua Bora na Bure havifanani kabisa.
Yaani wote wawili walizalisha kundi la wajinga na mambumbumbu kwa njia ya "elimu zao". Watu wasiojitambua, wasio na uwezo wa kujifunza, kupambanua wala kuhoji.

Ukweli usemwe bhana!
 
Mwl Nyerere nasikia alikua anamwaga sana kimombo...unazungumziaje suala hili mtoa mada kwetu sisi tuliomuona JPM tu
 
Hata Kama watu wachache wasipomkubali Magufuli Lakini ipo siku Wajukukuu wetu wataitafuta historia
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
Ni kweli kwa vijana wadogo. Kama umemuona magufuli usijute kwa kutomuona nyerere. Magufuli amekua nyerere wa kizazi hiki.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom