Ambao huwa tunaangalia tamthiliya/movies zilizotafsiriwa tukutane hapa

Haha

Nachukia majaribu ya amber kila siku yeye tu
Haha hapa kwetu ndivyo tulivyo maa. Waaris bonge la tamthiliya ila nachukia mtoto hakui tangu alipotimiza miaka 7 haongezeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…