Baharia Mahaba
Member
- May 1, 2022
- 26
- 25
Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama?
Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano.
Sasa leo nataka tujuzane yule mtu mliyepeana ahadi za kuja kuishi pamoja, hivi ishawahi kukutokea huna hili wala lile ukasikia kaolewa au kaoa? 😒😒
Ulifanyaje baada ya kujua hivyo? Na ni kitu ganj hutokuja kukisahau katika ahadi zake?
Tiririkeni hapa tupeane maujuzi 🤗🤗🤗