Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Niliwah kuwa na msichana ambae tulisoma wote O level lkn yeye alipofika form 3 ni bahati ikatokea kaka yake alikuwa SA kwa madiba akawa amemtaftia kazi tukapotezana kwa 7years na tulikuwa tumeweka promise ya kuwa pamoja hapo mbeleni. Japo dini yeye ni muslim mimi ni christian mwaka mmoja kabla ya kuludi kwake nikapewa taaarifa kuwa anarudi nikafanikiwa kupata mawasiliano yake katika kuwa nawasiliana nae nikimuuliza kuwa bado ana mapenzi na mimi alikuwa ana akiri bado ananipenda.Basi mwanaume nikajikoki kuja kumpokea bwana! Kuludi nikampokea airport nikamfikisha kwao baada ya mwezi hivi nikawa sielewi whatsapp status zake mara tareh 19/6 nna jambo langu nikimuuliza hanipi jibu sahihi baada ya mwez wa 6 kupita natumiwa picha kuwa ameshaolewa roho iliuma ntafanyeje nikamuuliza kwann hukuniambia alijitetea kwa kusema wazazi wangu walishanitaftia mchumba toka nipo SA pingamizi letu la mimi na wewe ni dini aisee! Tangu siku iyo sina hamu tena na long distance relationship wapenzi walio katika dini tofauti ni changamoto endapo pande zote mbili zina msimamo mkali[emoji119]