Nlikuwa namuona anaongozana na mshikj mmoja hivi[emoji23][emoji23].
Nilipokuwa namuuliza akawa ananambia ni jirani yake hivyo nisiwe na shida[emoji16][emoji16].
Ujiran wao ukakuwa mpka wakawa wanachat sana, na nikiuliza ananambia huyo ni best ake yaan rafiki tu hivyo nisiwaze sana.
Wakaenda mbal zaid wakawa wanatembeleana na kununuliana zawad, nilipofoka akanambia huyo ni kaka kwake tena ndugu, hivyo nisi mjudge mambo ya kifamilia[emoji28][emoji28].
Siku moja niko zangu mitandaoni napita pita sina hili wala lile, nashangaa kuona Post akiwa na huyo mshikaji[emoji16] wakiwa room ktk mapozi ya ajabu, na nilipojarbu kusoma komment za wadau ili nijihakikishie macho yangu nikastahajabu kuona reply ya rafik wa huyo dem akisema ''hongera shem kwa kuchukua chombo"
Nilipo hamia ktk reply nyingine nikaona reply inayosema ''Shem tumefarijika sana kwa kumheshimisha binti yetu kumtolea mahal na kumuoa kama ulivyo ahidi[emoji12][emoji26]" Manina siku hiyo siku ilikuwa hovyo sana ikabidi nimpigie simu muda huo huo huyo dem kuprove na majibu yake akasema kama ulivyoona na ndiyo ilvyo[emoji23][emoji23] na huo ndio ukawa mwanzo wangu na mwisho wangu wa kuwapenda na kuwaamini hizi jinsia za kike[emoji23][emoji23].
Acha tu mapenzi kweli konyoo, any way long distance relationship si jambo zuri kbsa, that's was a reason...