Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

Rafiki yake ndo aliniunganisha nae bwana akaniambia eti ni bikra huyo bado hajui hayo mambo. Tatizo nilikubaliwa siku za kwenda chuo zimekaribia. Japo tulikuwa tunakutana kisses nyingi na kukumbatiana lakini mazingira hayakuruhusu kula mzigo, mwisho nikasafiri lakini aliniahidi kabisa ntamkuta kama nilivyomuacha na kiwasiliana tuliendelea vizuri tu. Baada ya kama mwezi mmoja na nusu mawasiliano yalianza kupungua ghafla ndo taarifa zikanifikia eti Asha ana mimba na anaozeshwa karibuni kwa mhusika.
Jombaa πŸ™ŒπŸ™Œ... Ulichukua uamuzi gani?
 
Mi nadhani itskua ni uzembe wenu tuu yaan Niko makini sana nikihisi tuu ueleweki napiga chini haiwezekani mtu hana mpango wa kukuoa au kuolewa naww afu usijue hasa kwa wanaume mko weak kweli unashindwaje kujua manzi hakupendi mbaka anaolewa we upo tuu[emoji1787]huna habari au ndo nyie mnafosi mapenzi dalili ya mvua mawingu nyi mko busy kuandaa unga muanike ukilowana ooh fyokofyoko wanawake wabaya.
nendeni mkoleni uko.
🀣🀣🀣 Dada sio uzembe, ni katika kutunziana ahadi.... Chukulia mfano ww ni mtu wa ofisini na ni ngumu kufatilia mtu wako upande wa pili anafanyaje au yupo na nani... Kwa vyovyote vile utabaki na ahadi tu ya kuwa baada ya muda fulani mambo yatatiki! Sasa bana, mara paap kaoa/kuolewa 😁😁😁😁

Na kama ujuavyo wapo watu wanaweza kukuigizia hapa usijue hata kidogo! Hivi hujawahi ona mwanamke mpaka anaolewa hajulikani km ashawahi kuwa na mtoto? Unakuja kujua baadae sana!

Si uzembe bali kuigiza ndo kunaficha vingi
 
Nakumbuka aliniacha akaolewa nikiwa bado niko Chuo (ilibaki kidogo ni disco). Baada ya miaka 3 nukakutana nae amechoka mno, kumbe ilikuwa haraka yakuolewa.

Ila yote ya yote alikuwa sio type yangu (hili nimeligundua baada ya hiyo miaka 3).

#muache#aende
Katika kipindi ambacho watu wengi huwa wanaachwa ni hiki wakiwa chuo.... Wadada walio wengi hushindwa kuwavumilia wenza wao...
 
Rafiki yake ndo aliniunganisha nae bwana akaniambia eti ni bikra huyo bado hajui hayo mambo.

Tatizo nilikubaliwa siku za kwenda chuo zimekaribia. Japo tulikuwa tunakutana kisses nyingi na kukumbatiana lakini mazingira hayakuruhusu kula mzigo, mwisho nikasafiri lakini aliniahidi kabisa ntamkuta kama nilivyomuacha na kiwasiliana tuliendelea vizuri tu.

Baada ya kama mwezi mmoja na nusu mawasiliano yalianza kupungua ghafla ndo taarifa zikanifikia eti Asha ana mimba na anaozeshwa karibuni kwa mhusika.
wanasema fimbo ya mbali ...
 
Nakumbuka aliniacha akaolewa nikiwa bado niko Chuo (ilibaki kidogo ni disco). Baada ya miaka 3 nukakutana nae amechoka mno, kumbe ilikuwa haraka yakuolewa.

Ila yote ya yote alikuwa sio type yangu (hili nimeligundua baada ya hiyo miaka 3).

#muache#aende
asiyekuwepo na lake halipo
 
Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama?

Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano...

Sasa leo nataka tujuzane yule mtu mliyepeana ahadi za kuja kuishi pamoja, hivi ishawahi kukutokea huna hili wala lile ukasikia kaolewa au kaoa? πŸ˜’πŸ˜’

Ulifanyaje baada ya kujua hivyo? Na ni kitu ganj hutokuja kukisahau katika ahadi zake?

Tiririkeni hapa tupeane maujuzi πŸ€—πŸ€—πŸ€—
usiyachukulie serious mapenzi. yawaze usiku ukiwa huna la kufanya
 
Hili Likitokea kwa Girls huwa maumivu Sana ila kwa Boys kawaida na ukiona msichana ameamua kuangalia upande mwingine jua alishakuchunguza akaonana huna future hivyo akaamua aangalie upande mwingine.
 
Back
Top Bottom