Baharia Mahaba
Member
- May 1, 2022
- 26
- 25
Kwakweli[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mapenzi ni ya walioshiba
Tunasubili amalize masomo.ππMambo ya kuchomeshwa mahindi hayo...hadi anaoa/ kuolewa we unakua unasubiri nini kufanya hivo?!
Ndio shida hiyo, we wasubiri embe liive kuna watu wanakula likiwa bichi ni kutia chumvi tu πTunasubili amalize masomo.ππ
Kuna kile kitabu tulisomaga shule "Penzi kitovu cha uzembe"Ndio shida hiyo, we wasubiri embe liive kuna watu wanakula likiwa bichi ni kutia chumvi tu π
Hamna kosa kama kukubali eti usimpige miti demu mpaka muoane eti yeye bikira humpatiRafiki yake ndo aliniunganisha nae bwana akaniambia eti ni bikra huyo bado hajui hayo mambo. Tatizo nilikubaliwa siku za kwenda chuo zimekaribia. Japo tulikuwa tunakutana kisses nyingi na kukumbatiana lakini mazingira hayakuruhusu kula mzigo, mwisho nikasafiri lakini aliniahidi kabisa ntamkuta kama nilivyomuacha na kiwasiliana tuliendelea vizuri tu. Baada ya kama mwezi mmoja na nusu mawasiliano yalianza kupungua ghafla ndo taarifa zikanifikia eti Asha ana mimba na anaozeshwa karibuni kwa mhusika.
Poleni wahanga!Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama?
Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano...
Sasa leo nataka tujuzane yule mtu mliyepeana ahadi za kuja kuishi pamoja, hivi ishawahi kukutokea huna hili wala lile ukasikia kaolewa au kaoa? [emoji19][emoji19]
Ulifanyaje baada ya kujua hivyo? Na ni kitu ganj hutokuja kukisahau katika ahadi zake?
Tiririkeni hapa tupeane maujuzi [emoji847][emoji847][emoji847]
Mi nadhani itskua ni uzembe wenu tuu yaan Niko makini sana nikihisi tuu ueleweki napiga chini haiwezekani mtu hana mpango wa kukuoa au kuolewa naww afu usijue hasa kwa wanaume mko weak kweli unashindwaje kujua manzi hakupendi mbaka anaolewa we upo tuu[emoji1787]huna habari au ndo nyie mnafosi mapenzi dalili ya mvua mawingu nyi mko busy kuandaa unga muanike ukilowana ooh fyokofyoko wanawake wabaya.Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama?
Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano...
Sasa leo nataka tujuzane yule mtu mliyepeana ahadi za kuja kuishi pamoja, hivi ishawahi kukutokea huna hili wala lile ukasikia kaolewa au kaoa? [emoji19][emoji19]
Ulifanyaje baada ya kujua hivyo? Na ni kitu ganj hutokuja kukisahau katika ahadi zake?
Tiririkeni hapa tupeane maujuzi [emoji847][emoji847][emoji847]
Ilikuje mkuu..? Ili wengine nao wajifunzeBaddest experience ever!
Nilijisikia aibu na fedheha kubwa sana mbele ya familia yangu. Ila maisha yanaendelea.