Baharia Mahaba
Member
- May 1, 2022
- 26
- 25
- Thread starter
-
- #41
Nani kakwambia mapenzi ni mepesi kiasi cha kusema uyapotezee??? Wapo watu tunawashuhudia wanatembea wanaongea barabarani kisa stress za mapenzi sembuse kuwaza??? 🤨🤨🤨usiyachukulie serious mapenzi. yawaze usiku ukiwa huna la kufanya
🤣🤣🤣🤣🤣 Aiseee!bora yule dada aliolewa aisee ,maana ndoa ingeyumba. kanenepeana kapoteza mvuto kabisaa
Alitaka uwe kipoozeo cha nafsiYan apo ndipo alikua ananishangaza
Umefikiria niniIla we jamaa avatar yako imenifikirisha mbali sana.... 😁😁😁😁
Acha tu ibaki siri ya kambi...Umefikiria nini
🤣🤣🤣 Jamaa anawaza ukabwiri tu....Mkuu kulikuwa na ulazima gani kuweka mfano wa style hio kama movie za Marvel Studios...??
We jamaa 🙌🙌🙌Nlikuwa namuona anaongozana na mshikj mmoja hivi[emoji23][emoji23].
Nilipokuwa namuuliza akawa ananambia ni jirani yake hivyo nisiwe na shida[emoji16][emoji16].
Ujiran wao ukakuwa mpka wakawa wanachat sana, na nikiuliza ananambia huyo ni best ake yaan rafiki tu hivyo nisiwaze sana.
Wakaenda mbal zaid wakawa wanatembeleana na kununuliana zawad, nilipofoka akanambia huyo ni kaka kwake tena ndugu, hivyo nisi mjudge mambo ya kifamilia[emoji28][emoji28].
Siku moja niko zangu mitandaoni napita pita sina hili wala lile, nashangaa kuona Post akiwa na huyo mshikaji[emoji16] wakiwa room ktk mapozi ya ajabu, na nilipojarbu kusoma komment za wadau ili nijihakikishie macho yangu nikastahajabu kuona reply ya rafik wa huyo dem akisema ''hongera shem kwa kuchukua chombo"
Nilipo hamia ktk reply nyingine nikaona reply inayosema ''Shem tumefarijika sana kwa kumheshimisha binti yetu kumtolea mahal na kumuoa kama ulivyo ahidi[emoji12][emoji26]" Manina siku hiyo siku ilikuwa hovyo sana ikabidi nimpigie simu muda huo huo huyo dem kuprove na majibu yake akasema kama ulivyoona na ndiyo ilvyo[emoji23][emoji23] na huo ndio ukawa mwanzo wangu na mwisho wangu wa kuwapenda na kuwaamini hizi jinsia za kike[emoji23][emoji23].
Acha tu mapenzi kweli konyoo, any way long distance relationship si jambo zuri kbsa, that's was a reason...
Pole.Nlikuwa namuona anaongozana na mshikj mmoja hivi[emoji23][emoji23].

Kunogesha uzi mkuuMkuu kulikuwa na ulazima gani kuweka mfano wa style hio kama movie za Marvel Studios...??
Na ndio naitumiaga [emoji1787][emoji1787]Swaga ya kuolewa asilimia 85 ya mamanzi imewaingiza mkenge.... Mpaka unakuta wanatoa kiboga bila uoga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mapenzi ni ya walioshiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaaMambo ya kuchomeshwa mahindi hayo...hadi anaoa/ kuolewa we unakua unasubiri nini kufanya hivo?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka aliniacha akaolewa nikiwa bado niko Chuo (ilibaki kidogo ni disco). Baada ya miaka 3 nukakutana nae amechoka mno, kumbe ilikuwa haraka yakuolewa.
Ila yote ya yote alikuwa sio type yangu (hili nimeligundua baada ya hiyo miaka 3).
#muache#aende
Nimecheka mnoo dea.Utateseka, shiba kwanza kisha ujue ni njaaa ilikua inakusumbua au ni kweli mapenzi[emoji3][emoji3]