Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

Mbona umeandika vizuri kiasi hiki mkuu.. bravo [emoji122]
 
Hivi unajua hata nduguzako kama huna kitu hawakutafuti?daahh,inaumiza Sana.
 
Sasa wewe mkuu unataka Rafiki awe equated sawa na Mama yako au Kaka yako.

Tunaposema marafiki we are not aiming to demand as much as from kwa Kaka yangu au Mjomba wangu.


Ndio maama unaona kuwa marafiki kwako sio muhimu sana kwa kuwa tu hawatakaa milele na wewe.

You are too demanding my brother.
 
Utapata mke/mume then mtazaa watoto wenu wanne au nane, mtawalea na kuwakuza kwa maadli mema mkiwa pamoja, mtakula na kunywa pamoja, mtacheka na kufurahi pamoja, mtaenda beach, Cinema, Vacations milimani, misituni na mijini.
Life in the movie
 
Kumbe hata hujaoa?
 
Huna mume? Huyo ndiyo rafiki yako.Hao wengine vichomi tu.
 
Fairytale.
 
Nipo post #83 sijaona bado aliyeweza kufafanua ni ipi hasa tofauti ya kufahamiana na mtu na kuwa rafiki na mtu?kwani hivyo viwili vina tofauti?au labda itabidi siku nimtamkie mtu ktk wale tunaofahamiana wewe ni rafiki yangu au yeye anitamkie,tutaelewana kweli si itakuwa ndo mwanzo wakuonana mapunga?hii inanichanganya kiasi nashindwa kujua hata mimi nilikosimamia!

Nafahamiana na watu wengi na tunaheshimiana ila sasa how nitajua huyu ni rafiki huyu siyo rafiki wakati normally tunaenda sawa?mimi ni mtu wakujifungia huwa sipendi kuzurura sipendi starehe sipendi sherehe though nachangia sana hii inaweza kuwa sababu ya mimi kutojua yupi rafiki yupi siyo rafiki?
 


Mkuu Billy Butcher asante sana umefafanua vizuri na umeniongezea maarifa.

Wengi hatujui wakati mwengine hata ndugu wa damu hao siyo rafiki sahihi inabidi rafiki wa kweli watokane na kiuno cha muhusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…