Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Safi sana, masomo mazuri kujifunza kwenye maisha na mahusiano.

3 akili ya mwanadamu imeundwa kujifunza na kujaribu kubuni na kuunda .
Mimi kuna miundo natamani sana kuiunda financial ndio tatizo, Idea ipo.
All the best, I hope utapata financial resources, uunde mawazo yako, labda kuna invention hapa duniani inakusubiri wewe kuigundua 🦾!
 
1. Hata sielewekagi, naweza penda huyu sababu ya tako, nikapenda yule sababu ya sura yake, nikapenda yule kisa ana tu ndevu, huyu kwa upotabo wake, mara nipende vile.. mara lipsi, basi VAGARANTI...
si mbaguzi wa rangi ila naamini wasimame wanawake wawili wenye uzuri sawa, mweupe ataonekana zaidi

2. Sijawahi kulia.. nishaliza mara kadha wa kadha.

3. Kwenye ngono kwa hapa nilipofikia sitamani jambo jipya lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…