Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

Suala la umaarufu na kuhitaji msaada wa kibinadamu kama wengine wanavyohitaji havina uhusiano, kila mmoja ana lifestyle yake, kwaivo lifestyle ya amber ruty na michezo isiwe kigezo cha kutosaidiwa we sema tu hauna heraaa
Ninapesa, lakini sichangii Kila mtu, hata 100 ni hela
 
Pole sana kwake, mchango kama huo anaouhitaji ni kuguswa kwa mtu huwa si lazima kuchanga ni mtu na hiyari yake, tusimbeze kwa dhambi zake.

Ni binadamu, kama sisi na hakuna mkamilifu.
 
Walioguswa watamchangia. Wewe endelea kuchangia mapovu.

By the way mimi sio shabiki wa Amber Rutty ila ni shabiki wa Ubinadamu. Tusijihesabie haki sana, kila mtu ana nafasi ya kubadilika.
Wewe changia
 
Back
Top Bottom