uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Pole sana kwake Mungu atamponya nitatoa chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la picha bila kuweka chanzo chenye maelezo kamilifu, yaweza kuwa ni picha halisi lakini kwa tukio la zamani.Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
Tunaishi kwa kutubu dhambi.... Hakuna aliye mkamilifu. Ni mangapi maovu tunafanya gizani.....Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
Suala la umaarufu na kuhitaji msaada wa kibinadamu kama wengine wanavyohitaji havina uhusiano, kila mmoja ana lifestyle yake, kwaivo lifestyle ya amber ruty na michezo isiwe kigezo cha kutosaidiwa we sema tu haunKwahiuo wewe unasapoti life style ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kuirusha kwenye mitandao?
Ni kweli! Sema kwa sabab yey watu waliona maovu kwenye mitandao! Lakini kuna wanawake na wanaume wapo wengi wanafanya vitendo vya kifirauni kabisa tena wamekubuhu.Bado anabaki kuwa ni mwanadamu anayehitaji msaada pale anapofikwa na hali inayohitaji msaada.
Dhambi yake moja isiwe kigezo cha kukejeliwa wakati huohuo sisi wenyewe tukiwa tunayo madhambi mengi
Kuna watu walipata mikasa na bado wakakaza fuvuMpaka huruma. Atubu Sasa aache ya Dunia. Kuna Mikasa inakufanya uwe karibu na Mungu
Kwa hiyi yeye akifanya akaona ufahari kabisa wa kutupa hadharani.Ni kweli! Sema kwa sabab yey watu waliona maovu kwenye mitandao! Lakini kuna wanawake na wanaume wapo wengi wanafanya vitendo vya kifirauni kabisa tena wamekubuhu.
Huyo ni binadamu na anahitaji msaada kama wengine.
Mungu sio mwanadamu, Yeye ni Mwingi wa Rehema na Huruma.
Vina uhusiano mkubwa sana. Labda kama na wewe uko kama wao.Suala la umaarufu na kuhitaji msaada wa kibinadamu kama wengine wanavyohitaji havina uhusiano, kila mmoja ana lifestyle yake, kwaivo lifestyle ya amber ruty na michezo yake isiwe kigezo cha kutosaidiwa we sema tu hauna heraaa