Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
Tatizo la picha bila kuweka chanzo chenye maelezo kamilifu, yaweza kuwa ni picha halisi lakini kwa tukio la zamani.

Mtu aweza ku upload video hapa na kuanza kuvuta hisia za upendo na huruma za watu!

Weka chanzo cha tukio kilichojitosheleza.
 
Humanity is considering all lifestyles no matter what you're.
 
Pole sana Amber Luty. Hakuna mkamilifu na tusihukumu kama unaweza msaidie.
 
Suala la umaarufu na kuhitaji msaada wa kibinadamu kama wengine wanavyohitaji havina uhusiano, kila mmoja ana lifestyle yake, kwaivo lifestyle ya amber ruty na michezo isiwe kigezo cha kutosaidiwa we sema tu haunKwahiuo wewe unasapoti life style ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kuirusha kwenye mitandao?
 
Bado anabaki kuwa ni mwanadamu anayehitaji msaada pale anapofikwa na hali inayohitaji msaada.

Dhambi yake moja isiwe kigezo cha kukejeliwa wakati huohuo sisi wenyewe tukiwa tunayo madhambi mengi
Ni kweli! Sema kwa sabab yey watu waliona maovu kwenye mitandao! Lakini kuna wanawake na wanaume wapo wengi wanafanya vitendo vya kifirauni kabisa tena wamekubuhu.
Huyo ni binadamu na anahitaji msaada kama wengine.
Mungu sio mwanadamu, Yeye ni Mwingi wa Rehema na Huruma hivyo husamehe yote.
 
Huo muda kuanza kutuma hela kwa amber ruty sijui mtu anatoa wapi?
Wapambane tu na hali zao.
Huku tunahangaika na Hidaya
Haya mengine itakua mwamvua ama nini?
 
Ni kweli! Sema kwa sabab yey watu waliona maovu kwenye mitandao! Lakini kuna wanawake na wanaume wapo wengi wanafanya vitendo vya kifirauni kabisa tena wamekubuhu.
Huyo ni binadamu na anahitaji msaada kama wengine.
Mungu sio mwanadamu, Yeye ni Mwingi wa Rehema na Huruma.
Kwa hiyi yeye akifanya akaona ufahari kabisa wa kutupa hadharani.

Anyway Mungu amsamehe
 
Suala la umaarufu na kuhitaji msaada wa kibinadamu kama wengine wanavyohitaji havina uhusiano, kila mmoja ana lifestyle yake, kwaivo lifestyle ya amber ruty na michezo yake isiwe kigezo cha kutosaidiwa we sema tu hauna heraaa
Vina uhusiano mkubwa sana. Labda kama na wewe uko kama wao.

Mtu anayekaa mitandaoni ana kejeli wengine kuwa hawajielewi, hawajui Nje ya box, Yeye ana Hela na anakula Bata anavyotaka then akipata Tatizo dogo tu anakuomba hela wale wale aliowakejeli tena Mitandaoni?

Mimi nitachangia lakini Hoja yako sitaikubali kwamba havihusiani.
 
Umeguswa changiq, haina haja ya kumkandia, sasa huyu amber ruti ana dalili ya ukwasi gani masikini, ye mwenyewe alikuwa anagawa rinda ili maisha yaende. Japo pia siwezi mchangia, ila usimkamdie.

Kuna wale mashauzi, mara natumia milioni 20 kwa wiki, kwa wale wakandie, siwezi kuchanga.

Kuna mmoja kaenda kufanya operation ya kuongeza tako na kupunguza tumbo. kaKUFIA huko huko turkey, nasikia familia inataka mchango wa dola 4500 mwili urudi, hapa sina unafiki siwezi kuchanga.

Kifupi mie KISENTI changu kinatoka kwa mtu mwenye uhitaji kweli kweli, sio hawa miyeyusho.
 
Tumsaidieni mwenzetu kama ni madhaifu kila mmoja wetu anayo.Pole sana Amber rutty video yako ilinisaidia sana.Weka mawasiliano ya kuchangia
 
Back
Top Bottom